Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Chama kinachoongozwa na Ketemakers, DJ's, Chaarusha hakika ni genge hatari sana kwa kutekana na kuuana eg Saa 8 yuko wapi?, Rasi Wangwe na wengineyo. Hili genge la wahuni wanaishi maisha kama ya Samaki kulana wao kwa wao hivyo maneno ya Mh. phd holder si ya kubeza na kupuuza hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashangaza kuona kuwa ili kutoa ushahidi mzito na muhimu namna hii unaoweza kuitikisa na hatimae kuimaliza CDM unasubiri mpaka ETI wabishiwe kwanza.
YAONEKANA wazi kuwa, si Mollel au hata Waitara wote hawana kipya wala cha msingi cha kusema, ndio maana amejikuta anatumia staili tulizokuwa tunatumia utotoni za "..we nianze tu...utaona..."
Pia pangekuwepo na kitu chenye uzito, kwa usongo waliyonao, Polisi (wenu) wangeishawakimbilia WALA wasingesubiri kupelekewa.
Katika songombingo za kubumba kama hizi, Mh Mwigulu Nchemba nae aliwahi kuahidi kutoa ushahidi hata mbinguni. Lakini mpaka anatumbuliwa, alishindwa kuutoa hata hapa duniani.

Maadam Polisi hawataki kuzungumzia swala la
1.kuondolewa walinzi wote eneo na saa ya tukio.
2. Kutowahoji wafanyakazi wa majumbani eneo la tukio ambao ndio walimbeba TAL
3. Kungolewa cctv camera iliyokuwa nyumbani kwa Wazir (yupo )i karibu kabisa na eneo la tukio.

Basi wanajua kilichotokea.

Mengine na haya ya Dr Mollel ni juhudi za kujaribu kufunika mambo ili kuokoa wauaji kama ilivyo kawaida yenu. Na ndio juhudi walizokwenda kuziunga mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Molel akamatwe mala moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ewe dereva wa Lisu njoo uhojiwe, acha kuwa mke wa mtu ulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani mbinu inayotumika ni kuhangaika nanyu kimya kimya! Ila tu nikudokeze kuwa mipango yenu mingi sana mliyokuwa mnaipanga kuanzia 2010 kwenda 2015 wakati ule chadema ikiwa kwenye peak!
Kwa sasa iko wazi sana vile vikao vya ifakara! Au kule Arusha..na sehemu nyingine agenda zake zimevurugwa sana.

Vip, Mallya alikuwa dereva wa chacha wangwe ameachiwa? Au bado yupo gerezani mkuu..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kabidhi siri hizo Polisi, sheria ichukue mkondo wake. Kama hauna vielelezo ungejipumzisha tu ingawaje utaambiwa sio mzalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili watu wawe na imani juu ya anachokieleza ni vyema basi hoja zaxkung'olewa cctv camera zijibiwe.
Maana sudhani kama wanayo aurhority ya kuwaondoa walinzi pale.

Na pia ikiwa kuna ukweli polisi wamekuwa wakiwatafuta wahusika kwa nini asipeleke ushahidi kwa jamvo hatari kama hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…