Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

Huyu mkoma si ndiye alimuombea Magu apewe Corona badala ya kumuombea kura?
 
Tunaongozwa na watu wa hovyoooo.
 
Lying is just taking advantage of present time(s), circumstances and situation to hide the truth.. But at the same time, it is putting yourself at risk when those times, circumstances and situation have changed or no longer exist.
 
Lying is just taking advantage of present time(s), circumstances and situation to hide the truth.. But at the same time, it is putting yourself at risk when those times, circumstances and situation have changed or no longer exist.
Andika kwa kiswahili tu mzee tutakuelewa zaidi!! Au unawaandikia mabeberu!?
 
Kwa nini ruzuku ya chama inaingia kwenye akaunti ya benki binafsi ya Mbowe? Hili ni swali ambalo wanachama wanahitaji majibu yake," alisema Tundu Lissu leo akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City.

Lissu alidai kuwa matumizi ya ruzuku ya Chadema yamekosa uwazi, na akahoji ni kwa nini fedha za chama zinazotolewa na serikali hazipiti moja kwa moja kwenye akaunti rasmi ya chama. "Hatuwezi kuendelea kuendesha chama kwa utaratibu usiofuata taratibu za uwajibikaji na uwazi. Wanachama wanahitaji kufahamu kila senti ya ruzuku inatumikaje," aliongeza Lissu.

Alisisitiza kuwa moja ya sababu kubwa zinazomfanya agombee nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema ni kuhakikisha chama kinarejesha misingi ya demokrasia, uwazi, na uwajibikaji. "Hatuwezi kuwa chama kinachopigania uwazi na demokrasia nchini wakati ndani ya chama kuna mambo ya kificho," alisema Lissu, huku akiungwa mkono na baadhi ya wafuasi wake waliokuwa kwenye mkutano huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…