Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini maneno mengi ?Hivi unajiona una akili timamu?
Kwa hiyo akili yako inakuaminisha kuwa Dreva wa Lissu ndiye alimshambulia Lissu. Kisha Lissu anaendelea kumkingia kifua asihojiwe??U
Ujinga ni kumficha mtualie shuhudia tukio kwa machoyake ili aelezee frankly, kitugani kilitokea sikuile.
Unajuaje kama na yeye ni muhalifuje, kama sio muhalifu kitugani kinamfanya asijitokeze.
Kusema eti kama asingekuwepo ingekuwaje wakati mtu yupo ni upuuzitu.
Msifikiri kilamtu akilizake nifupi kama zenu.
MIGA amewashikia akilizote, hata huyo alie umizwa na yeye hana haja ya kujua aliemuumiza maana kama unapewa maelekezo na wahusika unakaidhi then kula kiburi chako.Kwa hiyo akili yako inakuaminisha kuwa Dreva wa Lissu ndiye alimshambulia Lissu. Kisha Lissu anaendelea kumkingia kifua asihojiwe??
Hivi unajuwa kuwa Polisi wanabambiki watu kesi? Polisi wa Mbeya waliposhindwa kum silence Mdude wakamuwekea kete za cocaine.
Usiniaminishe kuwa competency ya Polisi wetu kwa shauri la Lissu haiwezi kukamilika mpaka umpate Dreva wake.
Pili walikuwa wana uwezo wa kupata maelezo yake wakati akiwa Kenya na bado wanaweza kupata sasa hivi akiwa Ubelgiji.
Sidhani kwa hivi karibuni atatokea tena Raisi mbaya kama Magufuli---- kama atatokea basi ni maelfu ya miaka ijayo kama Tz ikiwa hai"MIGA amewashikia akilizote, hata huyo alie umizwa na yeye hana haja ya kujua aliemuumiza maana kama unapewa maelekezo na wahusika unakaidhi then kula kiburi chako.
Hata ivyo hawezi kuwa mwema kwa kilamtu, hao aliowafanyia mema tutamkumbuka kama shujaa ambae alikuwa na usubutu wa kulipeleka taifa mbele kama tunavyoona.Sidhani kwa hivi karibuni atatokea tena Raisi mbaya kama Magufuli---- kama atatokea basi ni maelfu ya miaka ijayo kama Tz ikiwa hai"
Ila vitabu vya historia vitamuandika Magu pamoja na Hitler, Mussolini , Stalin, Firauni, Bokasa, Amin
ww kweli jingalao huyu moleli anachokisema akili zake ziko na timamu,serikali inatakiwa kuwalinda raia wake wote bila kujali vyama vyao mbona hakuna mtuhumiwa hata mmoja kwenye hii kesi au mbowe nchi hii ni untouchableAbarikiwe mheshimiwa mollel kwa kuwaumbua hawa Chadema
Polisi wanataka kujua nani kampiga risasi lissu yeye anawajua halafu amekaa kimya na ushahidi!!! Anatakiwa kuswekwa ndani huyu!!!Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa CHADEMA walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!
Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.
========
Mbunge Dkt. Mollel akiwa Bungeni amesema fedha zinazopatikana kwenye rasilimali ambazo si endelevu(Mf. Madini) zinapaswa kuwekezwa kwenye maeneo ambayo yataendelea kulipa taifa pato hata zikiisha.
Nayo ni
1. Rasilimali watu
2. Miundombinu
3. Ugunduzi na Teknolojia
Pia ameeleza kuwa wakati sisi tunawekeza huko, kuna baadhi ya nchi ambazo rasilimali zao zimekwisha hivyo wanatafuta maeneo katika nchi zetu ili waweze kuwekeza kwenye rasilimali zetu na kuzipa nchi zao nguvu.
Katika kutoa mfano wa hilo, Dkt. Mollel anadai kuwa akiwa CHADEMA chini ya Mbunge Selasini, walikuwa wakipanga mikakati ya kuzuia Serikali isiwekeze maeneo hayo.
Katika mkakati huo ikaonekana kuwa Tundu Lissu anajipatia umaarufu binafsi hivyo wakampiga risasi na kumuumiza.
Anasema mkakati huo ndio unaendelea hadi sasa Ulaya ukifadhiliwa na watu wachafu wenye nia ya kuiba rasilimali za Watanzania. Anasema suala la Lissu liko wazi sababu hata Chacha Wangwe alipotaka Uenyekiti nini kilimpata?
Mabomu ya Arusha
Akizidi kukandamizia point yake, Mollel amesema alikuwa Daktari mwakilishi wa CHADEMA kipindi cha Mabomu ya Arusha na alipotoka kwenye chumba cha uchunguzi(post mortem) aliwaeleza viongozi wake kuwa ameiba vitu kadhaa toka kwenye chumba hicho hivyo wavipeleke Afrika ya Kusini kwa ajili ya uchunguzi lakini walikataa licha ya kuwa na Ruzuku.
Baba yako je?Sidhani kwa hivi karibuni atatokea tena Raisi mbaya kama Magufuli---- kama atatokea basi ni maelfu ya miaka ijayo kama Tz ikiwa hai"
Ila vitabu vya historia vitamuandika Magu pamoja na Hitler, Mussolini , Stalin, Firauni, Bokasa, Amin
Sina babaBaba yako je?
Dereva wanini wakati Lissu mwenyewe yupo? Alishuhudia kwa macho yake mwenyewe.Lete dereva hapa.
Maneno mengi ya nini?
Atakuja siku Lissu akiingia ikuluDereva amefichwa mpaka leo