Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

[emoji1787]ni utahira uliotukuka kuamini kwamba
1. CHADEMA wanaweza kuondoa cctv camera kweny nyumba ya waziri
2.chadema wanaweza kuondoa walinzi wa suka jkt mageti 2
3. CHADEMA kwa wanavyoandamwa serikal ingeshakamata wote walioshirik
4.chadema wanawez kuchanga pesa zao kumtibu mtu walie mjeruhi wao
5. CHADEMA wanawez kumnyima mshahara
6.chadema Ndio walimvua ubunge
7.chadema Ndio walio mpeleka ubelgiji
8.chadema Ndio walio wanyima wabunge wa ccm,madiwan,na viongiz wengn kumtembelea lisu na kumuuliza hali ikiwemo kumchangia[emoji1]
Alikuwa akisaka teuzi keshapata, chochote negative kuhusu cdm au upinzani teuz zitakufata tu
 
Mhubiri 2:24
[24]Mwanadamu hapati jema kupita kula na kunywa, na kuiburudisha roho yake kwa mema katika kazi yake. Hayo nayo naliona ya kwamba hutoka mkononi mwa Mungu.
 
Mleteni dereva aseme ,CCTV camera ziko wapi
Kama MLIPOMUUWA AQUILINA
MKAMSHITAKI MBOWE. Leo kwa Lisu mjifanye dereva ahojiwe. Si yule aliyepata u doctor kwa kuonga makalio kasema ana ushahidi mnasubiri nini kuwakamata chadema.
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
 
Anadai amekanyagwa kanyagwa na kuvunjwa miguu na mikono.
 
hapa naweza sema ni uongo mtupu kwa sababu gani shambulio la lisu liliichafua Tanzania kimataifa kwa nn serikali isimshike huyu mbuge akaisaidia serikali katika uchunguz ili kujisafisha kwa lawama hizi
 
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa CHADEMA walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!

Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.

========

Mbunge Dkt. Mollel akiwa Bungeni amesema fedha zinazopatikana kwenye rasilimali ambazo si endelevu(Mf. Madini) zinapaswa kuwekezwa kwenye maeneo ambayo yataendelea kulipa taifa pato hata zikiisha.

Nayo ni

1. Rasilimali watu
2. Miundombinu
3. Ugunduzi na Teknolojia

Pia ameeleza kuwa wakati sisi tunawekeza huko, kuna baadhi ya nchi ambazo rasilimali zao zimekwisha hivyo wanatafuta maeneo katika nchi zetu ili waweze kuwekeza kwenye rasilimali zetu na kuzipa nchi zao nguvu.

Katika kutoa mfano wa hilo, Dkt. Mollel anadai kuwa akiwa CHADEMA chini ya Mbunge Selasini, walikuwa wakipanga mikakati ya kuzuia Serikali isiwekeze maeneo hayo.

Katika mkakati huo ikaonekana kuwa Tundu Lissu anajipatia umaarufu binafsi hivyo wakampiga risasi na kumuumiza.

Anasema mkakati huo ndio unaendelea hadi sasa Ulaya ukifadhiliwa na watu wachafu wenye nia ya kuiba rasilimali za Watanzania. Anasema suala la Lissu liko wazi sababu hata Chacha Wangwe alipotaka Uenyekiti nini kilimpata?

Mabomu ya Arusha

Akizidi kukandamizia point yake, Mollel amesema alikuwa Daktari mwakilishi wa CHADEMA kipindi cha Mabomu ya Arusha na alipotoka kwenye chumba cha uchunguzi(post mortem) aliwaeleza viongozi wake kuwa ameiba vitu kadhaa toka kwenye chumba hicho hivyo wavipeleke Afrika ya Kusini kwa ajili ya uchunguzi lakini walikataa licha ya kuwa na Ruzuku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naibu waziri wa afya na ccm yake wanatapatapa. Anawezaje kukiri kuhusika na njama za mauaji kirahisi hivyo? Yuko juu ya sheria?
Vyombo vya dola vimesikia. Waziri ana vielelezo. Asipochukuliwa hatua za kisheria utakuwa ni ushahidi tosha kuwa madai ya mollel ni uzushi uliolenga kusambatisha CHADEMA.
Anasemaje kuhusu kushambuliwa na watu wasiojulikana kwa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CDM, ambaye ni muhimili mkuu wa chama chake?
Ndio mkakati wa kuua upinzani kabla ya uchaguzi mkuu uliokuwepo kwa muda mrefu?
Rais alimwambia Mambosasa kuwa Watanzania si wajinga.
 
Kweli kabisa ndiyo maana hata leo dereva wa Lisu hajarudi nyumbani
.
tapatalk_1570946898001.jpg
 
Usisahau Chadema ndiyo walioficha dereva wa Lisu
Kwani dereva wa Lissu ndio alikuwa na silaha yeyote?Mnaacha kuwatafuta wenye silaha mnahangaika na dereva.
Sasa kaja Lissu mwenyewe,aliyetizamana na mfyatua risasi.
Kazi kwenu!!
 
Kweli kabisa ndiyo maana hata leo dereva wa Lisu hajarudi nyumbani
weka akiba ya maneno, ni wapi hukumuona dereva wa Lissu akirejea Tanzania?

At Brussels Zaventem National Airport for the flight home. Escorted by my wife Alicia, my driver Adam Bakari Mohamed and Ms Hortensia May Lyatuu." Hon. Tundu Lissu
 
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa CHADEMA walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani!

Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali la kwa nini pamoja na kufyatuliwa risasi nyingi lakini hamna hata moja iliyompata dereva wa Lisu kwa sababu alikuwa anajua mchongo mzima na namna gani ya kujificha wakati risasi zikimiminwa.

========

Mbunge Dkt. Mollel akiwa Bungeni amesema fedha zinazopatikana kwenye rasilimali ambazo si endelevu(Mf. Madini) zinapaswa kuwekezwa kwenye maeneo ambayo yataendelea kulipa taifa pato hata zikiisha.

Nayo ni

1. Rasilimali watu
2. Miundombinu
3. Ugunduzi na Teknolojia

Pia ameeleza kuwa wakati sisi tunawekeza huko, kuna baadhi ya nchi ambazo rasilimali zao zimekwisha hivyo wanatafuta maeneo katika nchi zetu ili waweze kuwekeza kwenye rasilimali zetu na kuzipa nchi zao nguvu.

Katika kutoa mfano wa hilo, Dkt. Mollel anadai kuwa akiwa CHADEMA chini ya Mbunge Selasini, walikuwa wakipanga mikakati ya kuzuia Serikali isiwekeze maeneo hayo.

Katika mkakati huo ikaonekana kuwa Tundu Lissu anajipatia umaarufu binafsi hivyo wakampiga risasi na kumuumiza.

Anasema mkakati huo ndio unaendelea hadi sasa Ulaya ukifadhiliwa na watu wachafu wenye nia ya kuiba rasilimali za Watanzania. Anasema suala la Lissu liko wazi sababu hata Chacha Wangwe alipotaka Uenyekiti nini kilimpata?

Mabomu ya Arusha

Akizidi kukandamizia point yake, Mollel amesema alikuwa Daktari mwakilishi wa CHADEMA kipindi cha Mabomu ya Arusha na alipotoka kwenye chumba cha uchunguzi(post mortem) aliwaeleza viongozi wake kuwa ameiba vitu kadhaa toka kwenye chumba hicho hivyo wavipeleke Afrika ya Kusini kwa ajili ya uchunguzi lakini walikataa licha ya kuwa na Ruzuku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi anzeni na huyu mkoma
 
Ameshalipwa na Wajumbe, malipo hapa hapa duniani
 
Back
Top Bottom