Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Molel kichaa waambie kijani wenzio waruhusu wachunguzi wa kimataifa ili waimbue chadema kwa kuhusika kwake na kupiga risasi lissu ,Fanya hivyo taahira wewe .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari vyombo vya uchaguzi wa kimataifa vilifika Dodoma vikafanya Upelelezi kwa siri vikabaini cctv kung’olewa na Bashite ambaye ndiye aliyeshiriki kuandaa na kuteleza shambulio lote, taarifa zote zipo na chadema walishapewa wapo wanaandaa mashitaka kuyapeleka The Hague kule uholanzi pindi Tundu Lisu akipona na kurejea TanzaniaMolel kichaa waambie kijani wenzio waruhusu wachunguzi wa kimataifa ili waimbue chadema kwa kuhusika kwake na kupiga risasi lissu ,Fanya hivyo taahira wewe .
Ni vigumu CCM kuruhusu FBI au Scotland yard waje nchini maana itawachukua siku moja tu kumkamata Bashite na timu yake, CCM hawataki kusikia uchunguzi huruSawa ni kweli sasa tunaomba wachunguzi huru ili chadema itiwe hatiani
Hiyo mimba ya Bashite itakuuaCCM wote Akili zao zimegandishwa na Bashite hawawezi kuwaza kwa Akili zao wanapelekeshwa na mtesi mkuu wa Tundu Lisu, hawalali wanakesha kusaka wana ccm punguani kuwakaririsha upumbavu wao wakiamini utawachanganya watanzania mpaka ifike 2020 hakuna maendeleo wala viwanda huku wakitafuna trilion 1.5 kimya kimya pasipo kuulizwa na mtu kwani anayethubutu kuhoji ufujaji wa pesa za umma lazima atapigwa Risasi na Bashite.
You are such a pathetic uncircumcised baboon!Acha utahira wako chama hakikuuzwa bali ni propaganda za kishamba toka CCM wakazikariri wale wajinga wajinga kama nyie, lakini wenye Akili wanajua Lowasa alikuwa vizuri na chama chochote kingempokea pasipo kudai chochote, watesi nyie mpo busy kutengeneza mazingira ya kishamba shamba kuwahadaa watanzania pasipo kujua kuwa wananchi wa sasa si wale wa zamani ambao walidanganywa ki rahisi na kukubali Uongo wa CCM.
"Tuangalie wanapinga suala la Tundu Lissu, Chacha Wangwe kilimtokea nini baada ya kutaka uenyekiti!? Kulikuwa na plan namba moja ya kuzuia serikali isifanye kazi, kati kati ya plan namba moja Lissu akapigwa Risasi ili kusisimua watu wavuruge serikali yetu, plan namba mbili ndio inaendelea Ulaya, ambayo ni muendelezo wa kufadhiliwa na wale watu wachafu”. Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel (aliyekuwa CHADEMA). View attachment 1019461
Uharo mtupu! Jitu limeamkia kwenda kunywa mkojo wa first lady, limetoka huko na hangover ya mkojo!Ni mtu asiyetahiriwa kiakili au aliyelipwa fedha ndiye anaweza kuandika uharo huu. Kichefuchefu tupu.
Kwa hiyo CHADEMA ndio walio waondoa Polisi wanaolinda makazi ya viongozi?"Tuangalie wanapinga suala la Tundu Lissu, Chacha Wangwe kilimtokea nini baada ya kutaka uenyekiti!? Kulikuwa na plan namba moja ya kuzuia serikali isifanye kazi, kati kati ya plan namba moja Lissu akapigwa Risasi ili kusisimua watu wavuruge serikali yetu, plan namba mbili ndio inaendelea Ulaya, ambayo ni muendelezo wa kufadhiliwa na wale watu wachafu”. Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel (aliyekuwa CHADEMA). View attachment 1019461
hahojiwi mtu mapaka lisu na dreva wao kwanza