Dkt. Mollel: Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe kafunga Kwa kuvunja Sheria

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
Your browser is not able to display this video.
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Dkt. Godwin Mollel ambaye ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya anayemaliza muda wake ameandika ujumbe huu kuhusu Askofu Josephat Gwajima:

Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe Gwajima kafunga Kwa kuvunja Sheria alizo ridhia yeye mwenyewe na kusaini kuwa atazizingatia kwajili ya Amani, Umoja na Usalama wa nchi yetu.
 
Huyo molel ni mvuta Bangi ni waziri wa hovyo sana
 
Huyu hana akili timamu kiasi cha kujibiwa. Awekwe kwenye dustbin moja na Hananja.
Comments anazojibiwa atakuwa anatamani kufuta post
 

Mollel sijui haya huo Uwaziri ameupatapataje.....!!?
.
 
Hiyo sheria imevunjwa na kanisa au na Askofu Gwajima?

Kosa hilo likifanywa na Mufti mna ubavu wa kufungia misikiti yote nchini?
Labda misikiti haijasajiriwa kama makanisa ya Gwajima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…