Dkt. Mollel: Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe kafunga Kwa kuvunja Sheria

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Dkt. Godwin Mollel ambaye ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya anayemaliza muda wake ameandika ujumbe huu kuhusu Askofu Josephat Gwajima:

Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe Gwajima kafunga Kwa kuvunja Sheria alizo ridhia yeye mwenyewe na kusaini kuwa atazizingatia kwajili ya Amani, Umoja na Usalama wa nchi yetu.
🤔 🤔 🤔❌🤣 🤣 🤣 🔊
 
Anaongea ye km nani?
Yaani jina tu kipitishwa kwenye maoni anajiona kamaliza?

SS ni hivi,utaona ila hutakula km Mungu aishivyo
Hicho kiti Cha ubunge hutakalia Tena
 
Back
Top Bottom