Dkt. Mollel: Samia amefanya makubwa halafu kuna Wapumbavu wanasema hakuna alichofanya na wanahamasisha maandamano!

DodomaTZ

Senior Member
Joined
May 20, 2022
Posts
197
Reaction score
233
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel akizungumza na Wananchi Mkoani Kilimanjaro amesema hakuna Rais aliyefanya makubwa ndani ya miaka minne kama alivyofanya Rais Samia.

Upande wa Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Dkt. Mollel ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo la Siha ameleta mafanikio makubwa katika upatikanaji wa umeme tangu alipoingia madarakani, ambapo alikuta zaidi ya vitongoji 100 havina umeme na sasa amebakiza vitongoji 14 pekee katika jimbo zima la Siha.

Akizungumza katika mkutano wa kampeni za mgombea ubunge wa jimbo hilo ambapo Dkt. Mollel anawania kutetea nafasi yake, uliofanyika Kijiji cha Roslyn, Makamba amesema Dkt. Mollel ni miongoni mwa wabunge wachache nchini ambao wamefanikiwa kupunguza kwa kiwango kikubwa vitongoji visivyokuwa na umeme.

Aliongeza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka mkakati wa kuhakikisha ifikapo mwaka 2030 vitongoji 9,000 nchini vinakuwa na umeme, na akawahakikishia wananchi wa Siha kuwa vitongoji 14 vilivyobaki havitalala bila kushughulikiwa hadi vitakapopata umeme wa kutosha.

Makamba aliwasilisha salamu za Rais Samia kwa wananchi wa Siha, akisema hawakumwangusha kwani Rais alishinda katika jimbo hilo kwa asilimia 98.1, ushindi ambao haujawahi kutokea. Alisisitiza kuwa hadi kufikia mwaka 2030, Jimbo la Siha litakuwa miongoni mwa majimbo yanayoongoza kwa maendeleo nchini.

Aidha, alisema Rais Samia amefanya mambo makubwa ndani ya kipindi cha miaka minne kuliko awamu yoyote iliyopita kwa muda kama huo.
 
Kafanya makubwa kama haya Dar kukosa maji na ilikuwa kwenye mpango wake.
20251215_133833.jpg
 
View attachment 3516037

Hili jamaa kama akili lilipeka wapi?
 
Eti nae alikua kiongozi ngazi ya naibu waziri ... Chizi km hili dah ... Ninyamaze
 
Kaona jenista kaenda kaona isiwe kesi awe chawa wasipite naye..atulie tu atafikiwa tu
 
Huyu naye ku"";#&_()/??;''suerurucbnoowjdh yo zake
 
dawa yake inapoa atainywa tu,shetani hana rafiki.
 
Chuo kilichompa PhD yake kichunguzwe
 
Back
Top Bottom