GE2025 Dkt. Mollel: Wenzetu wanaompinga Rais Samia nafikiri wana changamoto ya Afya ya Akili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kayugumis

Senior Member
Joined
Jun 6, 2022
Posts
160
Reaction score
172

Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa wenzao wa CCM wanaojitokea hadharani kumpinga Rais Samia Hassan Suluhu inawezekana wanachangamoto ya Afya ya Akili.

Amesema wao wanapokuwa sio main character wanajichanganya na kufikiri kuwa huo sio ukweli. “Hilo ni tatizo la akili kama ilivyo matatizo mengine ya akili.”

Mollel ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya ameeleza kuwa ataendelea kufunguka zaidi.
 
Haya siyo mapya,alikuwepo Yusuf Makamba akipayuka hivi! Leo yuko wapi??
 
View attachment 3412252
Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa wenzao wa CCM wanaojitokea hadharani kumpinga Rais Samia Hassan Suluhu inawezekana wanachangamoto ya Afya ya Akili.

Amesema wao wanapokuwa sio main character wanajichanganya na kufikiri kuwa huo sio ukweli. “Hilo ni tatizo la akili kama ilivyo matatizo mengine ya akili.”

Mollel ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya ameeleza kuwa ataendelea kufunguka zaidi.
Daktari wa kung'oa meno
 
Ngoja akatwe kwenye Ubunge ndiyo atasema nani anaugonjwa wa akili
 
View attachment 3412252
Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa wenzao wa CCM wanaojitokea hadharani kumpinga Rais Samia Hassan Suluhu inawezekana wanachangamoto ya Afya ya Akili.

Amesema wao wanapokuwa sio main character wanajichanganya na kufikiri kuwa huo sio ukweli. “Hilo ni tatizo la akili kama ilivyo matatizo mengine ya akili.”

Mollel ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya ameeleza kuwa ataendelea kufunguka zaidi.
Katika watu bogus basi huyu amevuka viwango!
 
Dr Shika yeye ndo mental case haelewi kesho yake itakuwaje😂😂
 
Mama alianza vizuri mimi mwenyewe nilibeba bendera yake ya chuma sijui alishika kete ipi naona kila tukikata bau lote tunashambuliwa sisi na pia mpaka sasa hana washauri wazuri wa kumshauri kutatua changamoto zilizopo na pia angewapotezea wakina Lissu upinzani mkubwa upo ndani na si nje kama anavyofikiri uliona wapi mtu anaachia kazi ya ubalozi korahisi rahisi tu pana mixer nyiingi zipo hapo asichukulie poa..
 
Back
Top Bottom