Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Kwenye nchi hii, mikutano mikuu inafanya kazi kwa style ya computer: Garbage In, Garbage Out. Kwahiyo, uadilifu wa central committee na national executive committee ni muhimu kuliko kitu kingine chochote. Hivi vikao vya chini vikifanya uhuni na kupitisha maazimio/mapendekezo yaliyopinda, ndiyo imetoka hiyo. Hicho ndicho kilichotokea pale Dodoma mwaka huu.View attachment 3412252
Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa wenzao wa CCM wanaojitokea hadharani kumpinga Rais Samia Hassan Suluhu inawezekana wanachangamoto ya Afya ya Akili.
Amesema wao wanapokuwa sio main character wanajichanganya na kufikiri kuwa huo sio ukweli. “Hilo ni tatizo la akili kama ilivyo matatizo mengine ya akili.”
Mollel ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya ameeleza kuwa ataendelea kufunguka zaidi.
Katika historia ya Tanzania, hakuna mkutano mkuu ambao umewahi kukataa maazimio/mapendekezo yaliyoletwa mbele yake (for approval)! Kama upo, mchumiatumbo Mollel atuambie ni mkutano mkuu wa chama gani na ni wa mwaka gani.