GE2025 Dkt. Mollel: Wenzetu wanaompinga Rais Samia nafikiri wana changamoto ya Afya ya Akili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwenye nchi hii, mikutano mikuu inafanya kazi kwa style ya computer: Garbage In, Garbage Out. Kwahiyo, uadilifu wa central committee na national executive committee ni muhimu kuliko kitu kingine chochote. Hivi vikao vya chini vikifanya uhuni na kupitisha maazimio/mapendekezo yaliyopinda, ndiyo imetoka hiyo. Hicho ndicho kilichotokea pale Dodoma mwaka huu.

Katika historia ya Tanzania, hakuna mkutano mkuu ambao umewahi kukataa maazimio/mapendekezo yaliyoletwa mbele yake (for approval)! Kama upo, mchumiatumbo Mollel atuambie ni mkutano mkuu wa chama gani na ni wa mwaka gani.
 
Palilia sana pale panapokupa mkate wa kila siku
 
Kauli ya kijinga sana hii. Always watu kuuana huaza kwa kupeana majina.
 
Ujumbe wako una kitu, ngoja nirudie kuusoma
 
Watu wenye komwe kama lake mara nyingi wanakuwa na shida ya akili.
Apuuzwe haraka sana.
 
Waziri yuko sahihi
 
Huyu Jamaa ni Moja ya Madaktari Vilaza sana na mwenye matatizo ya Akili.

Badala ya kuja na majibu ya Hoja, analeta uchawa ili wamteue tena
Sasa we uliyejawa kinyesi kichwani nani anakujua nchi hii, profession yako ni nini, we ni kenge flani tu
 
Yeye ndiye kwenye changamoto ya akili mpaka lishe
 
Haowezekani ndani ya miaka minne waimbe mi5 tena alafu miezi mitatu kabla nfo watake kuchomoa battery, hili halikubaliki
 
Unaangali kikao au kanuni zinazoongoza kikao?

Kama kikao kimekiuka kanuni, maamuzi ya kikao ni halali?

Njaa tu zinamsumbua huyu.
 
Muundo wa kichwa chake tu unaonyesha ni mtu mjinga mwenye madaraka.
 
huyu masai aliyesaidiwa hadi kufika hapo naye wa kumsikiliza kwamba kuna kitu anaongea? kuna baadhi ya viongozi wapo hapo sio kwa sababu wanastahili ila kwa sababu wanawakilisha tu zone za makundi ya watu. hivi huyu mi sijawahi kumwelewa, kuna watu mimi nikiwaona tu huwa nawapotezea hata kubishana siwezi kwa sabaub huwa nawaonea kama huruma vile. ndugu zake masai hadi leo wanalala nje kama malori ili apate laki kwa mwezi , afu yeye anashadadia udhalimu?
 
Kuna watu ni waseanger sana.
 
Namshangaa sana kwa tabia yake ya kukebehi wagonjwa, juzi juzi alimfananisha mtu na ugonjwa wa kifafa leo akili, why, au Kwa vile yeye ni Dr wa meno.
Kumbe ni wa meno? Akayatibu meno yake kwanza. Ana changamoto ya akili huyu dakitare wa meno
 
Wekeni rekodi sawa, ili baadaye wasijikoshe kwa ajaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…