Pre GE2025 Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais akimaliza muda wake, Rais Samia aridhia ombi hilo

Pre GE2025 Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais akimaliza muda wake, Rais Samia aridhia ombi hilo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vice kashajiuzulu je ikitokea ndiye anatakiwa kuwa Rais itakuwaje wataalamu wa katiba nisaidieni?

Mtu ambaye ameshawasilisha barua ya kujiuzulu itakuwaje Nani atakuwa Rais ?
 
Vice kashajiuzulu je ikitokea ndiye anatakiwa kuwa Rais itakuwaje wataalamu wa katiba nisaidieni?

Mtu ambaye ameshawasilisha barua ya kujiuzulu itakuwaje Nani atakuwa Rais ?
Barua Ya Kujiuzuru ameandika Kwa Chama chake ili asichaguliwe Kuwa Mgombea Mwenza tu!

Ila Serikali inamtambua Kama Vice mpaka Sasa Na Mpaka Uchaguzi Utakapoisha Na Wakachaguliwa Wengine Bado atakuwa VICE ikitokea Uchaguzi ukaahirishwa Kw namna Yoyote ile Bado anaendelea Kuwa Vice..
 
Back
Top Bottom