Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisoma HGE hivyo hata hesabu hajui"Mwanauchumi kama mimi"
Wanasiasa wamekuwa wa hovyo sana sijui wanakula kande za wapi.
Nchi haingozwi kwa kulindiana heshima mkuu. Tunaangalia ufanisiCCM Wanapofanya Mambo Hawatumii Akili Hata Kidogo
Walishindwa Nini Kukaa Kimya Muda Uishe Mpango Akapumzike
Sasa Wao Wakaona Wamtangaze, Wamvunjie Heshma
Ukilinganisha na kipindi kile cha giza chini ya jpm?Nchi ipo ipo tu kama imepoteza dira.
Huyo ndio bingwa wa nudget zote za awamu ya jpm na samia bila mipango ccm chaliHii inaeleweka wazi tangu mwanzo Samia hakumkubali kabisa dr mpango mana yupo yupo tu hana mikakati wala mbinu
Hongereni wanauchumi wa kisasa.Alisoma HGE hivyo hata hesabu hajui
Kwani nani alimteua? Dr Mpàngo ni mgonjwa.Hii inaeleweka wazi tangu mwanzo Samia hakumkubali kabisa dr mpango mana yupo yupo tu hana mikakati wala mbinu
Ndo mana kipindi kile kumbe uchummi ulikuwa mbovu tukabaki tunalazimishwa kuimba nyimbo za uchiumi wa kati.Huyo ndio bingwa wa nudget zote za awamu ya jpm na samia bila mipango ccm chali
Hint: wajeda walishasema!Hii inaeleweka wazi tangu mwanzo Samia hakumkubali kabisa dr mpango mana yupo yupo tu hana mikakati wala mbinu
Ndiyo principle mkuu. Huwezi ku mu outsmart boss wako. Ndo mana hata padre haruhusiwi kuwa na mahubiri yanayomzidi askofu wa jimbo husika. Padre haryluhisiwi kuwa na homilia yenye mvuto kumzidi askofu wakeKwa taratibu za nchi hii tokea nilipojua mambo ya siasa,ukishakuwa makamu wa raisi hata kama ulikuwa unaupiga mwingi lazima uwe mpole,kwakuwa Rais ndio mwenye sauti,kwahiyo hata huyo ajaye ajuwe kuwa na yeye itabidi afuate taratibu,kinyume cha hapo hali haitakuwa nzuri kwake...
Aisee... yoga kiboko! Yaani dots Sasa zinaunganika kirahisi sanaCCM Wanapofanya Mambo Hawatumii Akili Hata Kidogo
Walishindwa Nini Kukaa Kimya Muda Uishe Mpango Akapumzike
Sasa Wao Wakaona Wamtangaze, Wamvunjie Heshma
Haaaaaa. wewe ni Mweupe kama Theluji. GreenLand wakishainunu Marekani GreenLenders hawatakuwa wanaandika mitandaoni?Sasa nchi imeuzwa lini. Mbona bado nchi ni yetu mimi na wewe vinginevyo usingepata uhuru huu wa kuandika ukilinganisha na kilindi kile cha giza chini ya jpm
Ndiyo principle mkuu. Huwezi ku mu outsmart boss wako. Ndo mana hata padre haruhusiwi kuwa na mahubiri yanayomzidi askofu wa jimbo husika. Padre haryluhisiwi kuwa na homilia yenye mvuto kumzidi askofu wake -
Malizia kwa kuandika "HIZI NDIZO SIFA ZA KIONGOZI MJINGA MJINGA"