Pre GE2025 Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais akimaliza muda wake, Rais Samia aridhia ombi hilo

Pre GE2025 Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu Rais akimaliza muda wake, Rais Samia aridhia ombi hilo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM Wanapofanya Mambo Hawatumii Akili Hata Kidogo
Walishindwa Nini Kukaa Kimya Muda Uishe Mpango Akapumzike
Sasa Wao Wakaona Wamtangaze, Wamvunjie Heshma
Nchi haingozwi kwa kulindiana heshima mkuu. Tunaangalia ufanisi
 
Kwa
Hii inaeleweka wazi tangu mwanzo Samia hakumkubali kabisa dr mpango mana yupo yupo tu hana mikakati wala mbinu
Kwani nani alimteua? Dr Mpàngo ni mgonjwa.
Huyu nchimbi ndo aliyeratibu mpango wa kugombea urais bila kufuàta utaratibu ndo maana kazawadiwa u VP.
 
Bora hata Dkt. Mpango [kama kweli katoswa na si kwa hiari yake].

Yule Gachagua wa Kenya walimdhalilisha halafu wakamtimua, albeit constitutionally.
 
Kwa taratibu za nchi hii tokea nilipojua mambo ya siasa,ukishakuwa makamu wa raisi hata kama ulikuwa unaupiga mwingi lazima uwe mpole,kwakuwa Rais ndio mwenye sauti,kwahiyo hata huyo ajaye ajuwe kuwa na yeye itabidi afuate taratibu,kinyume cha hapo hali haitakuwa nzuri kwake...
 
Barabara ya kwenda kwake sijuwi wataimaliziaaa au ndo hiviyo tena siasa noma sana
 
Kwa taratibu za nchi hii tokea nilipojua mambo ya siasa,ukishakuwa makamu wa raisi hata kama ulikuwa unaupiga mwingi lazima uwe mpole,kwakuwa Rais ndio mwenye sauti,kwahiyo hata huyo ajaye ajuwe kuwa na yeye itabidi afuate taratibu,kinyume cha hapo hali haitakuwa nzuri kwake...
Ndiyo principle mkuu. Huwezi ku mu outsmart boss wako. Ndo mana hata padre haruhusiwi kuwa na mahubiri yanayomzidi askofu wa jimbo husika. Padre haryluhisiwi kuwa na homilia yenye mvuto kumzidi askofu wake
 
CCM Wanapofanya Mambo Hawatumii Akili Hata Kidogo
Walishindwa Nini Kukaa Kimya Muda Uishe Mpango Akapumzike
Sasa Wao Wakaona Wamtangaze, Wamvunjie Heshma
Aisee... yoga kiboko! Yaani dots Sasa zinaunganika kirahisi sana
 
Sasa nchi imeuzwa lini. Mbona bado nchi ni yetu mimi na wewe vinginevyo usingepata uhuru huu wa kuandika ukilinganisha na kilindi kile cha giza chini ya jpm
Haaaaaa. wewe ni Mweupe kama Theluji. GreenLand wakishainunu Marekani GreenLenders hawatakuwa wanaandika mitandaoni?
 
Kwa nafasi ya makamu hata akipumzika lakini maisha yake hayaathiriki kivyovyote zaidi watakao umia ni wananchi walala hoi kama mleta mada.
 
Back
Top Bottom