Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Uchumi umeporomoka visingizio vingi vya nini, waziri sema ukweli tu ,kwanini unazunguka ?
Waziri mpango si useme Tu kuanzia leo atakayekamatwa na noti bandia akatwe kongosho....
Nyie ndiyo washauri wa karibu na magufuli Kwa lolote utakalosema ni Sheria tayari imeshapita,Kwa kauli yako tutegemee kuuwawa Kwa wahujumu uchumi
Kosa kubwa kwa mkuu ni kuchagua CHADEMA, mbona mafisadi wanaachiwaWaziri mpango si useme Tu kuanzia leo atakayekamatwa na noti bandia akatwe kongosho....
Nyie ndiyo washauri wa karibu na magufuli Kwa lolote utakalosema ni Sheria tayari imeshapita,Kwa kauli yako tutegemee kuuwawa Kwa wahujumu uchumi
Labda FIGO..... otherwise ni MAZAGA...hakuna zaidi ya hapo.Neno "Korosho" linawakilisha kiungo gani katika mwili wa binadamu..!?
Mwenye uelewa tafadhali..
Kweli aiseeKosa kubwa kwa mkuu ni kuchagua CHADEMA, mbona mafisadi wanaachiwa