The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
- Thread starter
- #21
Tena ni sekta zote.,mfano kwenye Afya ,Penye ukweli ni lazima usemwe. Hayo ya Rais Samia kuwa kama.Mayele, siyajui, maana pua sitaki kuwakera wapenzi wa Simba, halafu wakaijibu hoja bila weledi. Lakini kwa kweli kiutekelezaji, Rais Samia anatekeleza miradi mingi kwa weledi na kwa kasi. Anayafanya hayo kwa vitendo. Kitu lekee kinachompunguzia kasi ni mazingira mabaya aliyoyakuta: pesa za bure za MCC hazipo kutokana na mtangulizi wake kutozingatia haki na demomrasia. Pesa za msaada wa bure toka Jumuia ya Madola nazo hakuna kwa sababu ya mtangulizi waje kuvuruga uchaguzi wa 2020. Kama hizo pesa zote zingekuwepo, ongezea kodi zetu na mikopo, mambo yangepaa.
Aliyeanzisha miradi hiyo alifanya kwa pupa akakosa weledi wa kuikamilisha. Miradi hiyo mikubwa ikawa kichocheo cha kukiuka haki za watu. Kwa miradi kama SGR, maono na uthubutu yalikuwa mambo mazuri ila mbinu za utekelezaji zilikuwa duni.
Kabla ya mwaka 2022 Toka uhuru ilikuwa ukihitqji Huduma za mionzi zilipatikana Kwenye Hospitali za Kanda tuu..
Leo hii unapata Huduma hizo hospital zote za Mikoa na baadhi ya Wilaya Kwa gharama nafuu.
Yote haya yamefanyika chini ya Miaka 2 ya Urais Wake👇