Dkt. Mpango: Kasi ya Rais Samia ni kama Mayele

Siyo cha kushangaa ndio style yetu watanzania tuliyojichagulia kila anayekuja kuwa kiongozi wa juu anasifiwa tu.

Kana kwamba awakosei.
 
Tuliambiwa SGR ya Dar to Dom itakua tayari around Disemba 2022 ila mpaka sasa hamna chochote, tunahitaji majibu kuhusiana na hili jambo mana uwepo wake ni msaada tosha kwa wanaosafiri kutoka Dar kwenda Kahama, Mwanza, Kigoma au Bukoba.
 
Usafirishaji pekee wa abiria unaleta hasara, ndio maana serekali yetu inafanya bidii kumaliza vipande hivyo vya mbali venye kuunga nje ya nchi ili mara ianzapo ianze kwa faida straight forwards, Note this!
 
Back
Top Bottom