Dkt. Mpango: Mimi ni mzalendo wa kweli

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
'
Vice President watamwonea tu maskini wa Mungu na yule baba ni mcha Mungu mno kamwe hawezi kuhongeka.'

' Nakumbuka hata siku lile anakutana nao wasaidizi wake wote aliwaasa kuwa makini kwenye makubaliano ya aina yeyote.'

' Wakati wote alionyesha tai yake kwa watu wake wa karibu na kuwakumbusha uzalendo kwa Taifa letu uwe kipaumbele namba moja.'

'Mzee Mpango watu wasimfikirie vibaya jamani na kama utaona hata siku anakutana nao alivaa tai ya bendera ya Taifa ile ilikuwa inawapa maana ya uzalendo wake wale mabwana.'
 
Kila kitu kina wakati
 

Hahaha haa haa..
Kumbe huyu ni mchamungu ila wengine wezi sio?


Interesting... .huyu ndo project ya Pengo?
 
Haha haha, mbona mapema sana Yan 😂, mnaanza kujikana , si mlisema huu mradi utawakomboa wa TZ 🇹🇿, na Bado tutaelewana TU Yan 😂
 
Remmy Ongala - Kipenda roho

Kipenda roho inaweza kufanya ukala nyama mbichi Oohh Kipenda roho.

Pesa ikianguka inafanya uiname weee kipenda roho - unainama lakini makalio yako yapo juu wee kipenda roho
 
Mtikila alikuwa anaita watu kama hawa Babu jinga.
 
Kiongozi mkubwa kama yeye linapotokea kswala kama hili na ushahidi wa picha ,natakiwa ajitokeze aueleze umma , ni zawadi Kwa lipi jema alilowafanyia. Akikosa maneno ya kuwaambia watanzania ajiuzuru
 
Road Map au siyo?
 
Wapotoshaji pumzi zinakata sasa, mmebaki kuokoteza hili na lile huku mkuwa hooooi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…