Dkt. Mpango: Mimi ni mzalendo wa kweli

Dkt. Mpango: Mimi ni mzalendo wa kweli

Ni full kuchafuana tu ILI kujitetea sio!!?

Lakini wahusika Wana MALENGO yao!

Chafua namba moja na mbili ili ateuliwe mwingine TUANZE upya sio!!?

Kama walidhani tibazonkiza ni msafi na yeye achafuke SAWA na nasisi ILI tuwe SAWA,BASI njia nyeupe KWA fdr after a few days!!!

Tumia akili
 
View attachment 2667588 ' Vp watamwonea tu maskini wa Mungu na yule baba ni mcha Mungu mno kamwe hawezi kuhongeka.'

' Nakumbuka hata siku lile anakutana nao wasaidizi wake wote aliwaasa kuwa makini kwenye makubaliano ya aina yeyote.'

' Wakati wote alionyesha tai yake kwa watu wake wa karibu na kuwakumbusha uzalendo kwa Taifa letu uwe kipaumbele namba moja.'

'Mzee Mpango watu wasimfikirie vibaya jamani na kama utaona hata siku anakutana nao alivaa tai ya bendera ya Taifa ile ilikuwa inawapa maana ya uzalendo wake wale mabwana.'
Kumbe!
 
Ccm wote weeeeezziiii
 
Kila nikimuona nakumbuka alivyotolewa ICU pale Benjamin hospital aje awaprove wrong wananchi kuwa yy ni mzima...at the same time amekaa kwny wheelchair na ana suffocate the way anaongea kwa maumivu ..ile video niliota kabisa...
 
Ayaaaa..., daaah, akina Mangungo kila kona

564CF2C2-38C4-4B29-9A66-F998C8450654.jpeg
 
Kila nikimuona nakumbuka alivyotolewa ICU pale Benjamin hospital aje awaprove wrong wananchi kuwa yy ni mzima...at the same time amekaa kwny wheelchair na ana suffocate the way anaongea kwa maumivu ..ile video niliota kabisa...
[emoji16][emoji16][emoji16]dah umenikumbusha hii. Magu alikuwa na drama sana yule mwamba

Huyu mzee angeweza hata kukata moto pale kwenye wheelchair kwa kutekeleza amri tu, si yeye wala madaktari wangeweza hata kukohoa.
 
Vice President watamwonea tu maskini wa Mungu na yule baba ni mcha Mungu mno kamwe hawezi kuhongeka.'

' Nakumbuka hata siku lile anakutana nao wasaidizi wake wote aliwaasa kuwa makini kwenye makubaliano ya aina yeyote.'

' Wakati wote alionyesha tai yake kwa watu wake wa karibu na kuwakumbusha uzalendo kwa Taifa letu uwe kipaumbele namba moja.'

'Mzee Mpango watu wasimfikirie vibaya jamani na kama utaona hata siku anakutana nao alivaa tai ya bendera ya Taifa ile ilikuwa inawapa maana ya uzalendo wake wale mabwana.'
Naona hawa jamaa wamepania hasa.

Ni kama wanaokota embe dodo zisizokuwa na mwenyewe. Wapo kila mahala?

Kumetokea nini kinachowavuta sana kuja hapa wakati huu?
 
Hahaha haa haa..
Kumbe huyu ni mchamungu ila wengine wezi sio?

Interesting... .huyu ndo project ya Pengo?
Hivi Pengo ni nani ndani ya nchi hii, mbali ya kumtumia watu kama wewe kuhalalisha uchafu!
 
Naona hawa jamaa wamepania hasa.

Ni kama wanaokota embe dodo zisizokuwa na mwenyewe. Wapo kila mahala?

Kumetokea nini kinachowavuta sana kuja hapa wakati huu?
Wamepania, lakini hiyo picha si halisi. Iangalie kwenye magoti ya Mpango. Kama amevaa gum boots.

Ni waovu wanaojaribu kuhalalisha uovu wao.
 
SAHIVI HAKUNA MZALENDO

UZALENDO NI WA MDOMONI TU

ova
 
Vice President watamwonea tu maskini wa Mungu na yule baba ni mcha Mungu mno kamwe hawezi kuhongeka.'

' Nakumbuka hata siku lile anakutana nao wasaidizi wake wote aliwaasa kuwa makini kwenye makubaliano ya aina yeyote.'

' Wakati wote alionyesha tai yake kwa watu wake wa karibu na kuwakumbusha uzalendo kwa Taifa letu uwe kipaumbele namba moja.'

'Mzee Mpango watu wasimfikirie vibaya jamani na kama utaona hata siku anakutana nao alivaa tai ya bendera ya Taifa ile ilikuwa inawapa maana ya uzalendo wake wale mabwana.'
Halafu wewe kha!

Tumekuekewa mkuu
 
Hahaha haa haa..
Kumbe huyu ni mchamungu ila wengine wezi sio?

Interesting... .huyu ndo project ya Pengo?
Mpango ana uhusiano gani na msaliti aliyetoa bandari zetu kwa wajomba zake?

Wacha kujitoa akili kama mtoto mdogo.
 
Tangu lini makamu wetu anavaa suruali iliyochomekwa kweye boots na mkono wa kulia ukawa mkubwa kuliko wa kushoto? Mkono wa kulia unavidole na kucha za Mpango na ule wa kulia uko more soft na vikucha fulani hivi
 
[emoji16][emoji16][emoji16]dah umenikumbusha hii. Magu alikuwa na drama sana yule mwamba

Huyu mzee angeweza hata kukata moto pale kwenye wheelchair kwa kutekeleza amri tu, si yeye wala madaktari wangeweza hata kukohoa.
Acha tuu ndugu
 
Vice President watamwonea tu maskini wa Mungu na yule baba ni mcha Mungu mno kamwe hawezi kuhongeka.'

' Nakumbuka hata siku lile anakutana nao wasaidizi wake wote aliwaasa kuwa makini kwenye makubaliano ya aina yeyote.'

' Wakati wote alionyesha tai yake kwa watu wake wa karibu na kuwakumbusha uzalendo kwa Taifa letu uwe kipaumbele namba moja.'

'Mzee Mpango watu wasimfikirie vibaya jamani na kama utaona hata siku anakutana nao alivaa tai ya bendera ya Taifa ile ilikuwa inawapa maana ya uzalendo wake wale mabwana.'
Kama ni mzalendo kwanini hakupinga mkataba wa DP World?
 
Mzee hausiki jamani hahaha.
Dubai1.jpg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza na Mwenyekiti wa kampuni ya Blue Carbon LLC ambaye ni Mwanamfalme wa Dubai Mheshimiwa Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, alipofika kumsalimia Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 06 Februari 2023.
Dubai2.jpg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kampuni ya Blue Carbon LLC ambaye ni Mwanamfalme wa Dubai Mheshimiwa Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, mara baada ya kufika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 06 Februari 2023.
Dubai3.jpg

Back
Top Bottom