Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

Tanzania ni zaidi ya uijuavyo...

Kwahiyo, kwa lugha inayoeleweka, Mkandarasi HANA SIFA za kupewa hiyo kazi lakini serikali ya Rais Mtukufu bado ikatoa kazi kwa Mkandarasi asiye na sifa!

Yaani, kwa maana nyingine tulimpa kazi Middle Man...

Na pesa anapewa Middle Man

Middle Man anachukua chake, na kinachobaki anawapa subcontractors wanaofanya kazi yenyewe!!

Yaani ni sawa na mtu unampa kazi Civil Contractor akujengee mjengo halafu nae ana-subcontract kila idara including civil works!
Kuna uzi uliwai kuletwa ukiwazungumzia hao Arab contractor kutokua na uzoefu na hizi kazi.

Sjui uliishia wapi
 
Sijui kama umepima madhara yake...Usije ukapima kina cha bahari kwa mguu ndugu yangu...Turekebishe mambo pasipo kunyoosheana vidole au ku play victim...
Mmeshaanza kulindana sasa
 
Wakati akitoa maelekezo alipotembelea mradi wa kufua wa umeme wa stiglers gorge , Mh. Mpango alipongeza kwa kazi nzuri unayoendelea na kuongea mengi yakiwemo

1. Mkandarasi Hana Uzoefu wa kutosha katika ufanyaji wa kazi zake huku akisema kwasababu anatumia subcontractor kwa karibu kazi zote kila sehemu. Serikali labda ilitaka mkandarasi mkuu afanye kazi zote peke yake, lakini sehemu nyingi ameweka wachina

2. Mkandarasi yupo nyuma ya mpango kazi, na kwamba amechelewa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mafuriko na uvico19. Kauli ambayo Kalemani amekuwa akitudanganya kuwa tupo mbele ya muda na maji yataanza kujazwa Mwezi wa 11 tarehe 15, na kuwasha mitambo June 2022( KAULI AMBAYO NI DHAHIRI ALITUDANGANYA NA ILIKUWA YA KISIASA) Laini Makamu wa Rais ameongea ukweli.

Kutokana na Kauli ya Mh. Makamu wa Rais ni DHAHIRI kuwa Mradi huu hautaweza kukamilika 2022 Wala 2023 Wala 2024 labda 2025.
Unaufuatilia mradi kwa kuutembelea au inataka kufurahisha wasomaji wa JF. Subcontractor aliyepewa kazi hii ni kampeni kubwa ya kujenga mabwawa duniani. Ina uzoefu wa miaka 90, na imejenga mabwawa ambayo yanazalisha umeme ambao nchi zote za Africa Na América ya Kusini tunaweza kuutumiia. 436 giga watts.
 
Mchina amewaaribu hawa watu akipewa mradi mkubwa anafanya kila mwenyewe aachi hujuzi kwa wengine.

So kwenye vichwa vyao contractor anatakiwa kufanya kila kitu watu wa ovyo kweli.
Wewe una ajenda gani lakini? Eti wachina aachi hujuzi kwa wengine - je wewe katika maisha yako uliwahi kufanya kazi na Wachina au unajisemea tu - typical some Tanzanian kuwaribia sifa watu wengine bila sababu za msingi.

Watu wana anza kuwalahumu waarabu bila kufanya kautafiti walao kidogo kuhusu company profile ya Arab Contractors - kwani main contractor ku-sub contract kazi kwa kampuni nyingine kuna dhambi/kosa gani - binafsi naona mradi unakwenda vizuri tu licha ya changa motoya ugonjwa wa covid pamoja na mafuriko, wanajitahidi jusema ukweli unless kama kuna genge LA watu wachache ambao wamepania ku-manufacture lame excuses ya kujaribu kusitisha mradi mzima ili wapate kisingizio cha kutuletea tena miradi ya IPTL type ili mwisho wa siku Taifa lijikute linataka kunadi mbuga zetu za wanyama kulipia skewed/highly questionable capacity charge za umeme. Wakati mwingine viongozi wetu wa ngazi za juu Serikalini wawe makini sana na washauri wao - it pays ku-seek a second opinion.
 
Wewe una ajenda gani lakini? Eti wachina aachi hujuzi kwa wengine - je wewe katika maisha yako uliwahi kufanya kazi na Wachina au unajisemea tu - typical some Tanzanian kuwaribia sifa watu wengine bila sababu za msingi.

Watu wana anza kuwarahumu waarabu bila kufanya kautafiti walao kidogo kuhusu profile ya Arab Contractors - kwani main contractor ku-sub contract kazi kuna dhambi gani - binafsi naona mradi unakwenda vizuri tu unless kama kuna genge LA watu wachache ambao wamepania ku-manufacture lame excuses ya kisitisha mradi huu na kutuletea tena IPTL type ili mwisho wasiku Taifa lijikute linataka kunadi mbuga zetu za wanyama kulipia skewed/highly questionable capacity charge za umeme.
Huo ndio ukweli kuhusu wachina ata ikitokea muujiza bandari ya Bagamoyo ikaanza kesho contractor atakuwa mchina.

Na atafanya kitu hiko hiko anachofanya mwarabu sehemu ya kubwa ya kazi kuwa subcontracted, tofauti yake kwa sababu main contractor ni mchina na subcontractor ni mchina. Mtu kama V.P akienda hslapo hajui who is who.

Sasa wakienda site za wengine wakikuta wamejazana sub contractors wakichina na ma-engineer wakitanzania, halafu waarabu wenyewe na wazungu wachache lazima waulizane kulikoni, mbona kama vile mwarabu kasepa.

Wakati kule kwa mchina; contractor mchina watakuwa wachache, subcontractors wachina, ma engineer karibu wote wachina; hapo sasa wanaona huyu mtu kazi anafanya mwenyewe. Wakati ni kitu kile kile wanachofanya contractors wengine sema kuna diversity of people from different races.

Huko kwenye umeme kama wahusika awaulizi ‘relevant costs’ ya hizo private partnership anazolilia waziri na kama ni necessary; sisi ni hakina nani tuhoji.

Mtu anaongelea energy mix as if it’s something very necessary for each nation. Watu wana energy strategy zao wana pursue some are more ambitious than others.

Lakini reliable energy sources in order of ranking ni makaa ya mawe, Gas, electricity and hydro; mafuta yanakwepa kwa sababu umeme wake ni ghali.

Sasa kilichotokea ni nini baada ya makubaliano ya Kyoto protocol kupunguza CO2 emission (na tukumbuke hizi directive ni kwa ajili developed nations only. Baadhi ya hizo nchi zimekuwa more ambitious in going green kushinda wengine U.K. inaongoza na hizo greener sources sio reliable ndio mziki uliowakuta leo; hayo mambo ni complex na mapana kuyajadili.

Ni hivi waziri mapema sana anaonekana katupwa kwenye kina kirefu hiyo wizara sio size yake anaongelea mambo kirahisi sana; mfano mwingine privatisation ya nishati nchi za wenzetu asidhani ni mambo rahisi; nchi kama U.K. wanaregulator wa nishati ya majumbani anaitwa ‘Ofgem’ ana operate kama BoT na usimamizi wa bank anajua kila mzalishaji resources anatoa wapi, ana reserve ya kutosha etc deviation kidogo tu wanakurukia kama ni kampuni kubwa na kukuchukua.

Hizo greener projects anazoona wanafanya huko zina government incentives, zinaendana phaseout strategy ya fossils fuel plants (kuendana na energy security yao) na mambo mengine luluki kukuelezea thesis.

Energy policies ni complicated na January hiyo wizara sio size yake kabisa; hana uelewa wa hayo mambo kwa kina zaidi ya kusifiana ujinga tu Twitter.

Muhimu hapo wewe ni kupigania ugali wako mengine kama unaishi Tanzania, matatizo mengine wanayotengeneza waachie wenyewe.
 
Tanzania ni zaidi ya uijuavyo...

Kwahiyo, kwa lugha inayoeleweka, Mkandarasi HANA SIFA za kupewa hiyo kazi lakini serikali ya Rais Mtukufu bado ikatoa kazi kwa Mkandarasi asiye na sifa!

Yaani, kwa maana nyingine tulimpa kazi Middle Man...

Na pesa anapewa Middle Man

Middle Man anachukua chake, na kinachobaki anawapa subcontractors wanaofanya kazi yenyewe!!

Yaani ni sawa na mtu unampa kazi Civil Contractor akujengee mjengo halafu nae ana-subcontract kila idara including civil works!
Consultant ni TANROADS! Tutafika lakini.......
 
Huu mradi ni bomu litalokuja kulipuka huko mbeleni.

Haya ni madhara ya mtu mmoja kuaamua kila kitu huku akipigiwa makofi na mazuzu.

Haya yangesemwa na wapinzani wangeshambuliwa vibaya sana na hata kukamatwa au kufanyiwa hujuma.
A potential white elephant;
1. Environmental Impact Assessment ilishasema flow ya maji imepungua kwa asilimia 40 (40%),
2. Feasibility study ilifanywa miaka 50 iliyopita,
3. Consultant ni TANROADS
4. Miradi mbadala ya umeme wenye uwezo kwama wa Rufiji inawezekana katika maeneo ya Makambako na Same (upepo)
 
Mkandarasi wa miradi mikubwa kama hiyo anashinda tender kutokana na design yake ya mradi wote kuanzia physical project, ulinzi wa mazingira kama ecosystem, namna ya kuvuta maji and so forth with hydro power project scope.

Anakupa na costs zake za kujenga mradi, work break down structure ya wewe kuweza kufuatilia progress ya mradi kwa makubaliano ya muda wa kazi, etc.

Kazi yenyewe inafanywa na sub-contractors anachosimamia mkandarasi na ku coordinate hatua za kazi, kuangalia quality ya kazi, time, anapanga critical path ya mradi na other supervision roles.

Mtu kama makamu wa raisi awezi kwenda kwenye mradi kama huo bila ya mshauri wa maswala ya project management; hivi mbona tunaviongozi waropokaji halafu wepesi sana vichwani ukiwasikiliza.

Au anadhani huu sawa na miradi wa kujenga barabara. Yaani nchi inaviongozi wa ovyo kweli.
Mkuu,unategemea nini kwa mtu aliesema alipo achiwa nchi alikuwa na hofu.
 
Yote wanayaona na kusema baada ya mungu wao kurest in pisi!!! Hawa watu sijui wanapataje madaraka makubwa hivi
 
Tanzania ni zaidi ya uijuavyo...

Kwahiyo, kwa lugha inayoeleweka, Mkandarasi HANA SIFA za kupewa hiyo kazi lakini serikali ya Rais Mtukufu bado ikatoa kazi kwa Mkandarasi asiye na sifa!

Yaani, kwa maana nyingine tulimpa kazi Middle Man...

Na pesa anapewa Middle Man

Middle Man anachukua chake, na kinachobaki anawapa subcontractors wanaofanya kazi yenyewe!!

Yaani ni sawa na mtu unampa kazi Civil Contractor akujengee mjengo halafu nae ana-subcontract kila idara including civil works!
Kuweka subcontractor sioni kama kuna shida,shida ni je anafanya kazi kwa viwango vinavyokubalika...?
 
VP yupo sahihi. Mara nyingi una outsource kazi ambazo wewe mwenyewe huwezi kuzifanya kwa ufanisi au faida kwa sababu yoyote ile. Unafanya kile unachoweza au ambacho kwacho you are the best. Kwa hivyo kama Arab Contractors ame outsource kazi zote maana yake ni kuwa yeye asingeweza au hawezi kufanya kazi husika kwa ufanisi mkubwa (na faida) kwa hapa Tz kuliko hao subcontractors.....ama?
Hivi mbona tunamchagulia Arab Contractors namna ya kufanya kazi. Sisi km nchi tujikite kwenye ME ufuatiliaji na tathmini na kumlipa kulingana na na maoni ya wakandarasi washauri ambao ni TANESCO wenyewe na TANROADS nadhani. Hao ndio wapeleke ripoti na wakae na mkandaras na i serikali kuona thamani ya pesa. Mradi uko zaidi ya 50% maoni ya consultant yanasemaje? Tuache siasa twende na weledi
 
Hata deadline ya June 2022 ni moja kati ya Uongo mkubwa kuwahi kutokea katika dunia hii, kazi bado ni nyingi mno, Rusumo yenyewe haijakamilika
 
Back
Top Bottom