Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Hapo ndio kwa mara ya kwanza tutamtoa rais kwa jeshiupo sahihi, the project will be purposely abandoned for benefit, count on me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndio kwa mara ya kwanza tutamtoa rais kwa jeshiupo sahihi, the project will be purposely abandoned for benefit, count on me
Wazanzibar hawatakubaliHapo ndio kwa mara ya kwanza tutamtoa rais kwa jeshi
Kuna uzi uliwai kuletwa ukiwazungumzia hao Arab contractor kutokua na uzoefu na hizi kazi.Tanzania ni zaidi ya uijuavyo...
Kwahiyo, kwa lugha inayoeleweka, Mkandarasi HANA SIFA za kupewa hiyo kazi lakini serikali ya Rais Mtukufu bado ikatoa kazi kwa Mkandarasi asiye na sifa!
Yaani, kwa maana nyingine tulimpa kazi Middle Man...
Na pesa anapewa Middle Man
Middle Man anachukua chake, na kinachobaki anawapa subcontractors wanaofanya kazi yenyewe!!
Yaani ni sawa na mtu unampa kazi Civil Contractor akujengee mjengo halafu nae ana-subcontract kila idara including civil works!
Itabidi niutafute huo uziKuna uzi uliwai kuletwa ukiwazungumzia hao Arab contractor kutokua na uzoefu na hizi kazi.
Sjui uliishia wapi
Exactly [emoji106]Utaratibu wa kutangaza kandarasi ulifatwa kwa usahihi?????
Tuanzie hapo.
Mmeshaanza kulindana sasaSijui kama umepima madhara yake...Usije ukapima kina cha bahari kwa mguu ndugu yangu...Turekebishe mambo pasipo kunyoosheana vidole au ku play victim...
Kabisa[emoji106]mtu kama hana sifa akae pembeni na Takukuru wafanye kazi yao kwanini mtu asiye na sifa amekabidhiwa kazi kubwa namna hii??
Unaufuatilia mradi kwa kuutembelea au inataka kufurahisha wasomaji wa JF. Subcontractor aliyepewa kazi hii ni kampeni kubwa ya kujenga mabwawa duniani. Ina uzoefu wa miaka 90, na imejenga mabwawa ambayo yanazalisha umeme ambao nchi zote za Africa Na América ya Kusini tunaweza kuutumiia. 436 giga watts.Wakati akitoa maelekezo alipotembelea mradi wa kufua wa umeme wa stiglers gorge , Mh. Mpango alipongeza kwa kazi nzuri unayoendelea na kuongea mengi yakiwemo
1. Mkandarasi Hana Uzoefu wa kutosha katika ufanyaji wa kazi zake huku akisema kwasababu anatumia subcontractor kwa karibu kazi zote kila sehemu. Serikali labda ilitaka mkandarasi mkuu afanye kazi zote peke yake, lakini sehemu nyingi ameweka wachina
2. Mkandarasi yupo nyuma ya mpango kazi, na kwamba amechelewa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mafuriko na uvico19. Kauli ambayo Kalemani amekuwa akitudanganya kuwa tupo mbele ya muda na maji yataanza kujazwa Mwezi wa 11 tarehe 15, na kuwasha mitambo June 2022( KAULI AMBAYO NI DHAHIRI ALITUDANGANYA NA ILIKUWA YA KISIASA) Laini Makamu wa Rais ameongea ukweli.
Kutokana na Kauli ya Mh. Makamu wa Rais ni DHAHIRI kuwa Mradi huu hautaweza kukamilika 2022 Wala 2023 Wala 2024 labda 2025.
Wewe una ajenda gani lakini? Eti wachina aachi hujuzi kwa wengine - je wewe katika maisha yako uliwahi kufanya kazi na Wachina au unajisemea tu - typical some Tanzanian kuwaribia sifa watu wengine bila sababu za msingi.Mchina amewaaribu hawa watu akipewa mradi mkubwa anafanya kila mwenyewe aachi hujuzi kwa wengine.
So kwenye vichwa vyao contractor anatakiwa kufanya kila kitu watu wa ovyo kweli.
Huo ndio ukweli kuhusu wachina ata ikitokea muujiza bandari ya Bagamoyo ikaanza kesho contractor atakuwa mchina.Wewe una ajenda gani lakini? Eti wachina aachi hujuzi kwa wengine - je wewe katika maisha yako uliwahi kufanya kazi na Wachina au unajisemea tu - typical some Tanzanian kuwaribia sifa watu wengine bila sababu za msingi.
Watu wana anza kuwarahumu waarabu bila kufanya kautafiti walao kidogo kuhusu profile ya Arab Contractors - kwani main contractor ku-sub contract kazi kuna dhambi gani - binafsi naona mradi unakwenda vizuri tu unless kama kuna genge LA watu wachache ambao wamepania ku-manufacture lame excuses ya kisitisha mradi huu na kutuletea tena IPTL type ili mwisho wasiku Taifa lijikute linataka kunadi mbuga zetu za wanyama kulipia skewed/highly questionable capacity charge za umeme.
Consultant ni TANROADS! Tutafika lakini.......Tanzania ni zaidi ya uijuavyo...
Kwahiyo, kwa lugha inayoeleweka, Mkandarasi HANA SIFA za kupewa hiyo kazi lakini serikali ya Rais Mtukufu bado ikatoa kazi kwa Mkandarasi asiye na sifa!
Yaani, kwa maana nyingine tulimpa kazi Middle Man...
Na pesa anapewa Middle Man
Middle Man anachukua chake, na kinachobaki anawapa subcontractors wanaofanya kazi yenyewe!!
Yaani ni sawa na mtu unampa kazi Civil Contractor akujengee mjengo halafu nae ana-subcontract kila idara including civil works!
A potential white elephant;Huu mradi ni bomu litalokuja kulipuka huko mbeleni.
Haya ni madhara ya mtu mmoja kuaamua kila kitu huku akipigiwa makofi na mazuzu.
Haya yangesemwa na wapinzani wangeshambuliwa vibaya sana na hata kukamatwa au kufanyiwa hujuma.
Aswan Dam ilijengwa na Warusi"Aswan Dam" imejengwa na haohao ARAB CONTRACTORS tena miaka ya 1960...... Serikali ya awamu ya 5 haikukosea......
Mkuu,unategemea nini kwa mtu aliesema alipo achiwa nchi alikuwa na hofu.Mkandarasi wa miradi mikubwa kama hiyo anashinda tender kutokana na design yake ya mradi wote kuanzia physical project, ulinzi wa mazingira kama ecosystem, namna ya kuvuta maji and so forth with hydro power project scope.
Anakupa na costs zake za kujenga mradi, work break down structure ya wewe kuweza kufuatilia progress ya mradi kwa makubaliano ya muda wa kazi, etc.
Kazi yenyewe inafanywa na sub-contractors anachosimamia mkandarasi na ku coordinate hatua za kazi, kuangalia quality ya kazi, time, anapanga critical path ya mradi na other supervision roles.
Mtu kama makamu wa raisi awezi kwenda kwenye mradi kama huo bila ya mshauri wa maswala ya project management; hivi mbona tunaviongozi waropokaji halafu wepesi sana vichwani ukiwasikiliza.
Au anadhani huu sawa na miradi wa kujenga barabara. Yaani nchi inaviongozi wa ovyo kweli.
Kuweka subcontractor sioni kama kuna shida,shida ni je anafanya kazi kwa viwango vinavyokubalika...?Tanzania ni zaidi ya uijuavyo...
Kwahiyo, kwa lugha inayoeleweka, Mkandarasi HANA SIFA za kupewa hiyo kazi lakini serikali ya Rais Mtukufu bado ikatoa kazi kwa Mkandarasi asiye na sifa!
Yaani, kwa maana nyingine tulimpa kazi Middle Man...
Na pesa anapewa Middle Man
Middle Man anachukua chake, na kinachobaki anawapa subcontractors wanaofanya kazi yenyewe!!
Yaani ni sawa na mtu unampa kazi Civil Contractor akujengee mjengo halafu nae ana-subcontract kila idara including civil works!
Hivi mbona tunamchagulia Arab Contractors namna ya kufanya kazi. Sisi km nchi tujikite kwenye ME ufuatiliaji na tathmini na kumlipa kulingana na na maoni ya wakandarasi washauri ambao ni TANESCO wenyewe na TANROADS nadhani. Hao ndio wapeleke ripoti na wakae na mkandaras na i serikali kuona thamani ya pesa. Mradi uko zaidi ya 50% maoni ya consultant yanasemaje? Tuache siasa twende na welediVP yupo sahihi. Mara nyingi una outsource kazi ambazo wewe mwenyewe huwezi kuzifanya kwa ufanisi au faida kwa sababu yoyote ile. Unafanya kile unachoweza au ambacho kwacho you are the best. Kwa hivyo kama Arab Contractors ame outsource kazi zote maana yake ni kuwa yeye asingeweza au hawezi kufanya kazi husika kwa ufanisi mkubwa (na faida) kwa hapa Tz kuliko hao subcontractors.....ama?