Dkt. Mpango ndio aina ya wazee tunawataka kwenye Taifa. Hana makuu, hana tamaa ya madaraka

Kwa hiyo unawaambiaje CCM kumhusu Wasira kijana mwenye miaka 80 kushika tena hatamu.
 
Tupa kule enzi z mwenda zake ndio alikua anafungia account za wafanya bznes.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
We jamaa akili yako ni mdogo kuliko ya mtoto aliyeko tumboni
 
Mpango anastahili pongezi kujiuzulu,hiyo sio tabia za kitanzania, watanzania labda tuugue au tulogwe au tufukuzwe au tufie ofisini nk.

🫑
Inaonekana hakuwa mtu wa ma deal machafu. Watu wanakuwa wagumu kujiudhuru au hata kustaafu, anajua akinanduka madudu yake yanaweza bumburuka.. ikawa msala, mtu anaamu kukaa hapo hapo Hadi afe
 
Duh!
 
Seen
 
Ameondoka hajafanya kitu cha maana kwao kigoma ambacho wanaweza kujisifia kua na Makamu raisi, amewaangusha sana watu wa kwao
 
Mpango sio political animal, Hana charisma, hajawahi, hata kugombea udiwani, ubunge wake alipewa tu, kwa ufupi ni watu waliotakiwa kubakia kuwa "technocrats" Wataalamu serikalini, wizarani, hajawahi hata kufsnya kampeni,
Ila kwa ishu hii, amelazimishwa na deep state ya CCM, akae pembeni, kwanza ni mgonjwa, Hana mvuto Wa kisiasa Wa kuleta kura kwa CCM, Ukitegemea samia, mwenyewe akubaliki, ilibidi atafutwe mtu angalau mwenye mvuto, siwapendi CCM, lakini Bora Nchimbi, kuliko kenge Mwigulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…