ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndio huyo huyo alisimamia kuongeza tozo 2021/2022 harafu akaja kulaumiwa Samia na Mwigulu.Uongo.
Huyu alikuwa waziri wa fedha aliyefilisi wafanyabiashara enzi ya jiwe, bora aondoke
Ndio huyo huyo amewahi kiri Hadharani kwamba wao waliweza kupata Mapato ya Juu kabisa Kwa mwezi 1.5T/M tena Kwa mwezi mmja ila Kwa Samia imekuwa 2 times within less than 4 years.
Lakini Mpando ndio alisimamia sera za Uchumi ambazo zilifukiza Wawekezaji,kwangu binafsi hakufaa nafasi ya Waziri wa Fedha.
Namshangaa mtoa mada kudai eti Nchemba anatembelea nyota ya VP Mpango ,this is nonsense.