Dkt. Mpango ni kweli ulishiriki kumtuma Sabaya kufanya mambo machafu?

Umeeleweka mkuu
 
🤣🤣🤣
 
Huo unasemekana ni utetezi wa Sabaya umezua jambo jipya kubwa hapa nchini. Kumkana inakuwa ngumu na kumwokoa inaleta aibu kubwa.
Sijui iweje.
Ukirudi nyuma kifikra unajikuta unaenda mbali kabisa. Utabaki kujiuliza hivi Tz sasa tuko wapi!

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Tz tuko wapi?? tuko tanzania.
 
Acha usanii, ati mamlaka iliyomtuma, sasa mbona anashitakiwa na dola?
 
Wakati mpango anaapishwa alisema yeye Ni mtanzania mwenye asili ya Burundi,hapo lazima upate Shaka juu ya urundi wake.sabaya kwa Nini amemtaja mpango na asikutaje wewe,kamtaja kwa kuwa huwenda ameshiriki vitendo hivyo,busara Ni mpango kujibu hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…