Dkt. Mpango ni kweli ulishiriki kumtuma Sabaya kufanya mambo machafu?

Dkt. Mpango ni kweli ulishiriki kumtuma Sabaya kufanya mambo machafu?

Ukaribu wa Dkt Mpango na Mwendazake na sasa Umakamu wa Raisi unaonyesha Tanzania sasa iko mikononi mwa Wahutu

Ndio maana tulikuwa tukisema huu Uinterahamwe na ukatili sio tabia za Kitanzania.
Inaweza kuwa kweli. Ndani ya kipindi cha miezi mitatu baada ya Magufuli kufariki. Dr Mpango, Kassimu majariwa, Katibu Mkuu Bashiru, Katibu Mkuu ccm na Rais Samia wamefika Burundi. Zile safari zilinitisha.
 
Mlokole principally ni mwenye dhambi alie kubuhu, vilio vyao makanisani ni kujuta madhambi yao na kusikitika juu ya hukumu wakifa. Magufuli alikuwa m - RC, kuomba aombewe mara kwa mara nyuma ya maombi hayo kulikuwa na tanuru la moto.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Asante sana kwa theologia hii. Ni sahihi kabisa. Ukiona Mlokole pigia mstari huyo ni mwovu sana.
 
Watoa hukumu watakuja na hukumu sahihi. Tukisema Mpango ajiuzulu sijui nani ajiuzulu kwa kumsikiliza Ole tunajivuruga tuu

Maana Rais na Makamu wake wote ni walikua madarakani

Labda mje na yale maneno ya kwamba wanamhujumu mama kitu ambacho sio kweli

Msijisahaulishe kwamba Chumalady SSH alinolewa na Chuma JPM


Kwani sisi ndio tuliyemtaja mahakamani? Katajwa na wapenzi wake wa chama na serikali.
 
Inaweza kuwa kweli. Ndani ya kipindi cha miezi mitatu baada ya Magufuli kufariki. Dr Mpango, Kassimu majariwa, Katibu Mkuu Bashiru, Katibu Mkuu ccm na Rais Samia wamefika Burundi. Zile safari zilinitisha.
Ni aibu sana kwa sisi Watanzania kizidiwa akili na kutawaliwa tumefanywa kama Ng'ombe.
 
Kwa wenye macho ya rohoni kauli ya leo ya sabaya inaweza kuwa amesaini kitu kibaya sana ktk maisha yake, huwezi mtaja ktk uhalifu mtu mwenye madaraka makubwa hivi ktk kesi kama yake na ukabaki kuwa salama ndani ya nondo.
Namkumbuka kijana nondo alimzingua mzee wa tozo kidogo tu alichokivuna hadi tusiohusika tuliumia.
 
Kwa wenye macho ya rohoni kauli ya leo ya sabaya inaweza kuwa amesaini kitu kibaya sana ktk maisha yake, huwezi mtaja ktk uhalifu mtu mwenye madaraka makubwa hivi ktk kesi kama yake na ukabaki kuwa salama ndani ya nondo.
Namkumbuka kijana nondo alimzingua mzee wa tozo kidogo tu alichokivuna hadi tusiohusika tuliumia.
Nondo alifanywa nini?
 
hakuna kesi hapo.
kama alikuwa anatekeleza majukumu yake aliyo elekezwa na aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu ktk kuhakikisha kodi ya Serikali inalipwa. sasa huo unawezaje kuuita eti ni unyang'anyi?!!
ukiangalia hii kesi kwa jicho la tatu imejaa kisasi dhidi ya sabaya kutokana na majukumu yake aliyo kuwa akiyatekeleza, kwa vyovyote vile lazima angechukiwa sana na either;
1. wafanyabiashara au wanasiasa au wote kwa pamoja. ndicho kilicho tokea.
Kwanini anamtaja ili apeta huruma?
 
Afungwe kivipi wakati hakuna ushahidi wa kutosha kumfunga!? Labda Mpango aje Mahakamani aseme hawajawai kumtuma Sabaya kufanya kazi maalumu ya kuwasaka wahujumu Uchumi!!
Kwamba DC ana jukumu la kuwasaka na kuwakamata wahujumu uchumi, teh kisha??? Ndio vile anawakata masikio au akiwadaka anafanyaje....
 
Mpango ajiuzulu haraka sana , ukiona kiongozi anajifanya Mcha Mungu huku kazungukwa na matunguli muogope sana
Unajiuzulu Kwa kutajwa na jambazi?

since when mumeanza kumuamini sabaya?

yani leo neno lake ndio truth?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Watanzania wagumu kweli kuelewa. Kuna upotoshaji mkubwa sana unaendelea. Sabaya amesema alienda Arusha kwa maagizo ya mamlaka iliyomteua.

Prof. Lunga (Gavana) na Dr. Mpango (aliyekuwa Waziri wa fedha) wametajwa kama watu wanaojua moja ya kazi maalum aliyowahi kuifanya huko Dar es Salaam baada ya kukamata machine ya kutengezea fedha bandia.

Na amesema hivyo ili kuonesha kuwa kuna kazi nyingi tu aliwahi kuzifanya nje ya eneo lake la kawaida la kazi. Hiyo ya kwenda Arusha haikuwa ya kwanza.

Pamoja na hayo, amekanusha kuiba fedha wala kutumia silaha. Kila alichokuwa anakifanya alipata ushirikiano wa vyombo vya dola. Hata aliyekuwa mkuu wa wilaya wa eneo husika alikuwa na taarifa juu ya uwepo wao.

Kwa maneno mengine alikuwa kwenye kazi maalum aliyotumwa na mamlaka ya uteuzi wake: siyo Dr. Mpango, Prof. Luoga au hao wengine aliowataja.
My friend akutukanaye hakuchagulii tusi na ukitaka kumuua mnwa mpe jina baya...Hiki ndicho hawa watu wa Jamuhuri ya twitter wanachokifanya kwa sasa...Hizi propaganda hizi bahati nzuri nchi yetu na chama tawala kwao siyo mambo mageni.
 
Back
Top Bottom