Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
π πVijana wakaidi hata hekima hizi za mzee watazipuuza. Ni huzuni sana.
Utakufa vibaya wewe ππππTunasema hivi, MASHANGAZI HATUACHI!
Utakufa vibaya weweTunasema hivi, MASHANGAZI HATUACHI!
HuwongoooKizazi cha Kupenda Mteremko, kupenda Kitonga, Kupenda utelezi..!
Kizazi kipo bize Kubet..! Kufanya Kazi aaah..
Poor Brain on one and two.Huyo dr ana ubongo kichwani kweli.!????
Ni kweli vijana tuache lakini pia na hao mashangazi waache kutusumbua sisi vijana...
BICHWA KOMWE - hii inakuhusu
Ushalima kwanza ππππPoor Brain on one and two.
Kumbe mashangazi ni sources of incomeMashangazi ni Ajira
Vinginevyo vijana watakimbilia kwa Didy
Daah πushauri wangu kwa vijana zingatieni rika