Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
- Thread starter
- #41
ππ ngoma droo hiiHapo naona wamegawana
Mabinti wa 2000 wanapenda Wanaume Wazee
Wakati huo huo Vijana wa kiume nao wana-date Mashangazi
Kweli Bongo Nyoso π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππ ngoma droo hiiHapo naona wamegawana
Mabinti wa 2000 wanapenda Wanaume Wazee
Wakati huo huo Vijana wa kiume nao wana-date Mashangazi
Kweli Bongo Nyoso π
Tuache wee BhaBha, ushajipata, sie tunapenda age go vise versa is true, Salaam nyingi kwa Wajombaa(maanko) na MashangaziWakuu mmesikia huko alichokisema Dkt. Mpango kuhusu Mashangazi?
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philiph Mpango, amesema zinahitajika tafiti za kina pamoja na mikakati katika kufanya mapinduzi ya kitamaduni kubadili tabia na mazoea yasiyofaa yanayojitokeza katika Jamii hivi sasa ambayo ni kikwazo kwa maendeleo.
Dkt Mpango amesema hayo wakati akifungua mkutano wa kusherehekea miaka 30 ya Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF) uliyofanyika Jijini Dar es salaam ambapo ametaja baadhi ya mazoea na tabia hizo ni pamoja na kutojali muda, kutokuwa na uaminifu mahali pa kazi pamoja na kutumia njia zisizofaa katika kupata kipato.
Makamu wa Rais ameitaka ESRF pamoja na Watalaam wa Fikra Tunduizi (Think Tank) kuangazia pia tabia za hivi karibuni za Vijana kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wanawake waliyowazidi umri (Mashangazi) kama njia rahisi ya kujikimu, kutumia muda mwingi bila kufanya kazi kwa kushinda Vijiweni, uchezaji kamari, utupaji taka ovyo, uchomaji moto ovyo wa nyasi na misitu pamoja na ubinafsi.
Pia Makamu wa Rais amesema ni muhimu kuangazia tabia nyingine kama vile matumizi makubwa ya fedha katika anasa kuliko kuweka akiba ikiwemo uchangiaji zaidi katika matukio ya sherehe na tafrija kuliko kusaidia gharama za elimu na matibabu kwa familia za kipato cha chini.
Soma: Kuhusu utafiti wa tatizo la ajira, Dkt. Mpango usihadae Watanzania
Hawana hekaheka wabhabha wa watu,Hapo naona wamegawana
Mabinti wa 2000 wanapenda Wanaume Wazee
Wakati huo huo Vijana wa kiume nao wana-date Mashangazi
Kweli Bongo Nyoso π
SafiiiiTuache wee BhaBha, ushajipata, sie tunapenda age go vise versa is true, Salaam nyingi kwa Wajombaa(maanko) na Mashangazi
Ngoja waje waseme wenyewe πKwani vijana wenyewe wanasemaje?
Vijana wanasema mishangazi haisumbui yaani wanachukua wanaweka waaaaaaah
Ahahhahahah umeonaaa eeeh...Kwani vijana wenyewe wanasemaje?
Vijana wanasema mishangazi haisumbui yaani wanachukua wanaweka waaaaaaah
Tena huyo BABU KIZEE atukome kabisa mashangazi, kwani nani amemtuma? Kiherehere chake tu.Huyo dr ana ubongo kichwani kweli.!????
Ni kweli vijana tuache lakini pia na hao mashangazi waache kutusumbua sisi vijana...
BICHWA KOMWE - hii inakuhusu
ππππππ Bichwa naomba nikuulize kitu tafadhariTena huyo BABU KIZEE atukome kabisa mashangazi, kwani nani amemtuma? Kiherehere chake tu.
Sisi mashangazi tunapinga vikali kauli ya huyo BABU KIZEE MPANGO, TUNASEMAJEEEEE, atuache na vibenteni wetuu.
Hivi anaujua utamu wa vibenteni kweli huyu au anabwata tu? Baadaye nitatoa TAMKO RASMI.
Cc: FaizaFoxy Mbaga Jr Kapeace Kalpana Extrovert dronedrake fundi bishoo Lamomy Nyani Ngabu
UmefikiwaHuyo dr ana ubongo kichwani kweli.!????
Ni kweli vijana tuache lakini pia na hao mashangazi waache kutusumbua sisi vijana...
BICHWA KOMWE - hii inakuhusu
Uwanja wa nyumbani..ππππUmefikiwa
Ulizaa!!ππππππ Bichwa naomba nikuulize kitu tafadhari
Itakua alipitia uzi wakoUwanja wa nyumbani..ππππ
Bichwa katika hao uliowatag huyo fox sijui ni nani kwako πππππππUlizaa!!
Nimechefukwa atarii!
KATIBU WA MASHANGAZI.Bichwa katika hao uliowatag huyo fox sijui ni nani kwako πππππππ