Dkt. Mpango: Vijana achaneni na kupenda mashangazi

Dkt. Mpango: Vijana achaneni na kupenda mashangazi

Duh! Hadi makamu anajua kuna mashangazi, hii kali! Mashangazi yana hela, vijana wanaona bora wayakimbilie kuliko kung'ang'ana na vibinti vyenye njaa kali na vidangaji ni visumbufu kutwa kutaka hela na hela zenyewe hakuna. Mashangazi nayo yanawapenda vijana kwa kupeleka moto wa uhakika mwanzo hadi mwisho hadi lishangazi liseme lenyewe imetosha
 
Duh! Hadi makamu anajua kuna mashangazi, hii kali! Mashangazi yana hela, vijana wanaona bora wayakimbilie kuliko kung'ang'ana na vibinti vyenye njaa kali na vidangaji ni visumbufu kutwa kutaka hela na hela zenyewe hakuna. Mashangazi nayo yanawapenda vijana kwa kupeleka moto wa uhakika mwanzo hadi mwisho hadi lishangazi liseme lenyewe imetosha
Mkuu una ongea madini sana...
Naomba nianze kufatilia nyuzi zako tafadhari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ajikite k
Wakuu mmesikia huko alichokisema Dkt. Mpango kuhusu Mashangazi?

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philiph Mpango, amesema zinahitajika tafiti za kina pamoja na mikakati katika kufanya mapinduzi ya kitamaduni kubadili tabia na mazoea yasiyofaa yanayojitokeza katika Jamii hivi sasa ambayo ni kikwazo kwa maendeleo.

Dkt Mpango amesema hayo wakati akifungua mkutano wa kusherehekea miaka 30 ya Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF) uliyofanyika Jijini Dar es salaam ambapo ametaja baadhi ya mazoea na tabia hizo ni pamoja na kutojali muda, kutokuwa na uaminifu mahali pa kazi pamoja na kutumia njia zisizofaa katika kupata kipato.

Makamu wa Rais ameitaka ESRF pamoja na Watalaam wa Fikra Tunduizi (Think Tank) kuangazia pia tabia za hivi karibuni za Vijana kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wanawake waliyowazidi umri (Mashangazi) kama njia rahisi ya kujikimu, kutumia muda mwingi bila kufanya kazi kwa kushinda Vijiweni, uchezaji kamari, utupaji taka ovyo, uchomaji moto ovyo wa nyasi na misitu pamoja na ubinafsi.

Pia Makamu wa Rais amesema ni muhimu kuangazia tabia nyingine kama vile matumizi makubwa ya fedha katika anasa kuliko kuweka akiba ikiwemo uchangiaji zaidi katika matukio ya sherehe na tafrija kuliko kusaidia gharama za elimu na matibabu kwa familia za kipato cha chini.
Soma: Kuhusu utafiti wa tatizo la ajira, Dkt. Mpango usihadae Watanzania
Ajikite kwenye mambo ya msingi ya Nchi kuliko personal affairs,haipendezi

View: https://www.instagram.com/p/DBaqlaWtY_3/?igsh=MTR1dnFlMTJmY2cwOQ==
 
Mishangazi Yenyewe Sasa
FB_IMG_17294520309492393.jpg
 
Mmewanyima ajira vijana wamekaa kimya wameamua kujishikiza kwa mashangazi na kubeti bado mnawafuatilia na huko. Wakiandamana napo mnawapiga. Waacheni waweke stake chamsingi washaurini waweke mechi chache odds za uhakika.
Haaa umeua lile gap la marehemu la kutoajir for 5 years halitozibika ever viongoz wachague watu sahihi kwa uiongoz nchi huwez kubadili utamaduni hata iweje yote haya yameanzia hapo
 
Kila jambo lina sababu ya chanzo chake, hao vijana hawajajitakia, ila kuna dosari kwenye mfumo wetu wa maisha ndiyo umetengeneza hayo mambo

Halafu haya mambo ya kuibuka na misamiati mipya kwenye matukio maalumu siyo poa, ni bora kuanzishwe radio programs za kueneza maneno mapya yote ya kiswahili badala ya kuchomeka misamiati kwenye speech muhimu
Kwa sababu hizi ni hansard ni rejea kwa vizaz na vizaz big up comrade
 
Back
Top Bottom