BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Makamu rais Dr Mpango ameshauri kuwa ni vyema sasa watoto wote wanaozaliwa wawe wanapatiwa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) papo hapo.
Anasema hii itasaidia watoto kutatua changamoto mbalimbali za huduma za kifedha km kufungua account bank na kuomba mikopo ya elimu ya juu (HESLB).
Nini maoni yako juu hili pendekezo la mheshimiwa Dkt. Mpango.