Taasisi ya Mifupa-MOI
Senior Member
- Apr 15, 2025
- 118
- 214
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Mhe. Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya, akisaini kitabu cha maombolezo kwa heshima ya aliyekuwa Daktari Bingwa wa Radiolojia na Meneja wa Idara ya Uchunguzi MOI, Dkt. Mechris Mango, leo Mei 30, 2025. Dkt. Mango atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya afya na huduma bora kwa wagonjwa.