Bro unafikiri hilo ni tatizo?Mi kuna wadau niliwaambia yanga akipoteza au ku draw tena lazima warushe ngumi.
Halafu nime ona ushindi wa vita kule congo umewatoa sana kwenye mstari ndugu zetu hawa wamekuwa hawajiamini tena,wameanza lawama za ajabu na kuanza kukosa matumaini ya ubingwa.Bro unafikiri hilo ni tatizo?
Litatokea tu na wala si mara moja. Tatizo ni jinsi wachezaji wanavyojituma, siyo mechi zote.
Wachezaji wanaanguka hovyo bila sababu na wanaonekana kama watu wa mzaha hivi. Wengi wao ni wachezaji wazuri lakini wanakosa umakini.
Hehe...Halafu nime ona ushindi wa vita kule congo umewatoa sana kwenye mstari ndugu zetu hawa wamekuwa hawajiamini tena,wameanza lawama za ajabu na kuanza kukosa matumaini ya ubingwa.
Wamekata MotoMashabiki wa Yanga watulie wasikate tamaa kwani ligi bado ndefu na ligi ya mwaka huu ni ngumu sana bingwa atapatikana mwishoni kabisa.
MBUMBUMBU wa Msimbazi ni kundi la mashogaUtopolo ni kikundi cha wahuni wapiga ndondi.
Kwani na nyie mlikuwa mnawaza mtakuwa mabingwaDah! Ila Yanga kuna utani sana. Kuanzia kwa kocha mwenyewe, wachezaji, mpaka kwa viongozi. Yaani dirisha la usajili walitambua fika striking force ni mbovu! Wakamsajili Saido Ntibazonkiza, haonekani uwanjani! π
Wakamleta Fiston! Nae anaonekana kukosa kabisa match fitness!! Sijui alikuwa hana timu kabla ya kuja Jangwani!! Kiasi anaonekana kupuyanga tu uwanjani kama Mbwana Samatta kule Fernabace! Yaani anapitwa mbali na Striker Mburundi mwenzake Didier na anayechezea Mbeya City!
Kazi kweli kweli! Ditram Nchimbi naye ni mchezaji nyota wa timu ndogo! Na siyo timu kubwa! Wakati alipokuwa Mwadui na Polisi Tanzania, amecheza kwa kiwngo cha juu sana kuliko alipokuwa Azam na sasa Young Africans!! Jana alikosa goli la wazi kabisa!! Dah! Inauma sana. Maana timu isipo badilika, Ubingwa utarudi tena Msimbazi.
Mashoga ni watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani wako wanaofanya na wanaofanywa simba inawezekana ni mashoga wanawafanya yanga wanaovaa maderaMBUMBUMBU wa Msimbazi ni kundi la mashoga
Bingwa atapatikana zikiwa zimebaki mechi tano wala msijipe moyoMashabiki wa Yanga watulie wasikate tamaa kwani ligi bado ndefu na ligi ya mwaka huu ni ngumu sana bingwa atapatikana mwishoni kabisa.
ππππUtopolo ni kikundi cha wahuni wapiga ndondi.
tunamchapa huyu dkt anaendesha club kizee sana.Utopolo ni kikundi cha wahuni wapiga ndondi.
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ dahHakuna Team
Genge La Wahuni Wachache