Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Dr.Mussa yupo sahihi 100%,Dkt. Khamis Mussa, mchambuzi wa masuala ya siasa, amemtaja Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba kuwa ni “tatizo kuu la matatizo ya Watanzania”, akidai kuwa sehemu kubwa ya changamoto zinazohusu Katiba nchini zinatokana na nafasi na maamuzi ya Warioba katika vipindi mbalimbali vya historia ya Tanzania.
Akizungumza leo Ijumaa, Septemba 4, 2026, Dkt. Mussa amesema Warioba ndiye aliyeandika Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, akidai kuwa Katiba hiyo ilimpa Rais madaraka makubwa kiasi kwamba hata Mwalimu Julius Nyerere alilazimika kuifanyia marekebisho mwaka 1982 na 1984. Amesema kinachomshangaza ni baadhi ya wakosoaji wa Katiba hiyo kumtaja Warioba kama shujaa licha ya kuwa ndiye aliyeshiriki kuiandaa.
Dkt. Mussa pia amemlaumu Warioba kwa kile alichokiita kushindwa kutumia nafasi aliyopewa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete kupitia Tume ya Mabadiliko ya Katiba, akidai kuwa mapendekezo ya Serikali Tatu yaliyotokana na Tume hiyo ndiyo yaliyoibua mvutano mkubwa katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 na hatimaye kuzuia kupatikana kwa Katiba Mpya. Kwa mujibu wa Dkt. Mussa, kama pendekezo hilo lisingekuwepo, huenda Tanzania ingekuwa tayari imepata Katiba Mpya.
Akizungumzia mwenendo wa Warioba baada ya kustaafu, Dkt. Mussa amesema tofauti na viongozi wastaafu kama Cleopa Msuya na Benjamin Mkapa ambao, kwa mujibu wake, walikuwa wakitoa ushauri kwa viongozi walioko madarakani moja kwa moja, Warioba amekuwa akizungumza kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Amehusisha kauli za Warioba kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025 na madai ya mgawanyiko ndani ya Jeshi la Polisi na kusema kuwa kiongozi mwenye uzoefu kama Warioba alipaswa kutumia nafasi yake kumshauri Rais moja kwa moja badala ya kulalamika hadharani.View attachment 3663247
Kum la mama yako mkuu.Dr.Mussa yupo sahihi 100%,
mzee wetu huyo wa heshima ndio chimbiko la mapungufu machache ya katiba na kwakweli amekua changamoto zaidi kuelekea mchakato wa katiba mpya
ok. ponjoro keepitup,Kum la mama yako mkuu.
Kabisaaok. ponjoro keepitup,
una fanaya kazi nzuri sana ya kutukana na kuporomosha matusi useless jukwaani huku ukiwa pointless
Warioba ndio kasabisha barabara ya kutoka Mbezi kwa Yusufu kupitia Mpiji Magohe hadi Bunju isiwekewe lami hadi leo?Dkt. Khamis Mussa, mchambuzi wa masuala ya siasa, amemtaja Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba kuwa ni “tatizo kuu la matatizo ya Watanzania”, akidai kuwa sehemu kubwa ya changamoto zinazohusu Katiba nchini zinatokana na nafasi na maamuzi ya Warioba katika vipindi mbalimbali vya historia ya Tanzania.
Akizungumza leo Ijumaa, Septemba 4, 2026, Dkt. Mussa amesema Warioba ndiye aliyeandika Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, akidai kuwa Katiba hiyo ilimpa Rais madaraka makubwa kiasi kwamba hata Mwalimu Julius Nyerere alilazimika kuifanyia marekebisho mwaka 1982 na 1984. Amesema kinachomshangaza ni baadhi ya wakosoaji wa Katiba hiyo kumtaja Warioba kama shujaa licha ya kuwa ndiye aliyeshiriki kuiandaa.
Dkt. Mussa pia amemlaumu Warioba kwa kile alichokiita kushindwa kutumia nafasi aliyopewa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete kupitia Tume ya Mabadiliko ya Katiba, akidai kuwa mapendekezo ya Serikali Tatu yaliyotokana na Tume hiyo ndiyo yaliyoibua mvutano mkubwa katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 na hatimaye kuzuia kupatikana kwa Katiba Mpya. Kwa mujibu wa Dkt. Mussa, kama pendekezo hilo lisingekuwepo, huenda Tanzania ingekuwa tayari imepata Katiba Mpya.
Akizungumzia mwenendo wa Warioba baada ya kustaafu, Dkt. Mussa amesema tofauti na viongozi wastaafu kama Cleopa Msuya na Benjamin Mkapa ambao, kwa mujibu wake, walikuwa wakitoa ushauri kwa viongozi walioko madarakani moja kwa moja, Warioba amekuwa akizungumza kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Amehusisha kauli za Warioba kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025 na madai ya mgawanyiko ndani ya Jeshi la Polisi na kusema kuwa kiongozi mwenye uzoefu kama Warioba alipaswa kutumia nafasi yake kumshauri Rais moja kwa moja badala ya kulalamika hadharani.View attachment 3663247
Mzee Warioba ndiye mtu aliyekuwa anaweza kuwapinga Nyerere na Sokoine walipokuwa wanazidisha ubabe na kwenda nje ya sheria.
Kuna mtu aliachiwa na mahakama, Nyerere akaagiza akamatwe tena ashitakiwe upya, Warioba akamwambia Nyerere kuwa hatuwezi kufanya kitu hicho ni kinyume na sheria, ni double jeopardy. Nyerere akaishia kulalamika chinichini akimwambia balozi Opanga kwamba rafiki yake balozi Opanga, Warioba anamdhibiti yeye Nyerere kwa sheria, lakini Nyerere ikibidi akubali kushindwa kwa sababu hiyo ilikiwa ni sheria.
Warioba hakumuogopa Nyerere, alimuambia Mwalimu hapa utavunja sheria. Kwa namna ambayo wanasheria wakuu wa serikali wengi wasingeweza.
Kwenye uzinduzi wa kitabu cha Sokoine Warioba alielezea jinsi Sokoine alivyotaka kuondoa mambo ya kikatiba katika vita dhidi ya wahujumu uchumi, na Warioba alivyomkatalia mpaka Sokoine akaenda kwa rais Nyerere kumshitaji Warioba, wakapata some compromise, ila Sokoine hakupata kike alichokitaka originally.
Warioba stood up for the rule of law.
1977 chama kilishika hatamu, katiba imeandikwa na kina Msekwa more than Warioba, Warioba ndiyo kwanza alikuwa anaingia kuwa AG hakuwa na nguvu ya kubishia mabadiliko ya katiba kihivyo, huu mzigo wa jamii nzima msimtwishe mtu mmoja.
Kwa sababu amekuumba ?Hana akili kama Allah.
Alitimiza wajibu wake, ikabaki wajibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiongozwa na wingi wa Wabunge wa ccm ndio walizuia kuipitsha rasimu ya pili ya Katiba ikakwama Bungeni.Dr.Mussa yupo sahihi 100%,
mzee wetu huyo wa heshima ndio chimbiko la mapungufu machache ya katiba na kwakweli amekua changamoto zaidi kuelekea mchakato wa katiba mpya
Ile rasimu yake iliwatoa jasho mkaona dawa ni kuitengenezea alternative ya kijinga.Dr.Mussa yupo sahihi 100%,
mzee wetu huyo wa heshima ndio chimbiko la mapungufu machache ya katiba na kwakweli amekua changamoto zaidi kuelekea mchakato wa katiba mpya