Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Lakini bila yeye kua changamoto wakati akiwa na nyadhifa mbalilambali serikalini tusingefika hapa tulipo.Alitimiza wajibu wake, ikabaki wajibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiongozwa na wingi wa Wabunge wa ccm ndio walizuia kuipitsha rasimu ya pili ya Katiba ikakwama Bungeni.
huenda alikua muoga sana na ndio maana hakutekeleza wajibu wake ipasavyo wakati akiwa na nafasi serikalini. Kwa watu makini inaonekana ni mtu wa chuki tu dhidi ya uongozi uliko sasa

