Dkt. Mussa: Warioba Tatizo Kuu la Watanzania

Alitimiza wajibu wake, ikabaki wajibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiongozwa na wingi wa Wabunge wa ccm ndio walizuia kuipitsha rasimu ya pili ya Katiba ikakwama Bungeni.
Lakini bila yeye kua changamoto wakati akiwa na nyadhifa mbalilambali serikalini tusingefika hapa tulipo.

huenda alikua muoga sana na ndio maana hakutekeleza wajibu wake ipasavyo wakati akiwa na nafasi serikalini. Kwa watu makini inaonekana ni mtu wa chuki tu dhidi ya uongozi uliko sasa
 
Ile rasimu yake iliwatoa jasho mkaona dawa ni kuitengenezea alternative ya kijinga.

Nina mashaka na doctorate ya huyo Dr. wa lumumba.
mtu mwenye chuki binafsi kama mzee wangu warioba,
kamwe hawezi kua na mawazo ya kumtoa mwingine jasho gentleman
 
Warioba kuandika katiba ya 1977 sio issue, kwani ilikidhi matakwa ya wakati huo. Tukiwa chini ya mfumo wa chama kimoja na ujamaa. Sasa tumeacha ujamaa na tupo vyama vingi, mambo yamebadilika. Utamlaumu vipi warioba? Nahitaji ya katiba ya 1977 na Leo miaka 50 baadae ni tofauti sana.
 
Warioba ni mwanaccm ni miongoni mwa wanufaika wa mfumo, zama hizo na sasa.
 
Dakitari wa hovyo.
Anajivua ufahamu na kusema mambo Kama amepoteza kumbukumbu.
Serikali tatu siyo hoja binafsi ya Warioba.
Ile rasimu ilichukua maoni na mapendekezo toka kwa wananchi.
Kuitwa tume ya Warioba haimaanishi mawazo yote mule ni mapendekezo binafsi ya Warioba.
Huyu sijui dakitari wa aina gani?
Sijui kapataje udakitari?
Hawa ndiyo wanatukanisha taaluma au dini zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…