Dkt. Musukuma amwaga ung'eng'e Bungeni, ashangiliwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, baada ya kutunukiwa PhD, sasa ni rasmi Mh Musukuma ameanza kutumia lugha ya Kiingereza kama lugha yake kuu ya mawasiliano bungeni.

Leo ameuliza swali kwa kizungu ambapo waziri amepata kigugumizi kujibu.

Msukuma mnafiki tu. Alikuwa anawaonea sana wivu wasomi, akawa anawakashifu kumbe lilikuwa suala la sitaki mbichi hizi!

Usomi mtamu bwana, usipoeleweka unaongea kiingereza kwa msisitizo! Kati ya anesema nakupenda na anaesema I love you anafanikiwa anaesema I love you!
 
English ni usomi? Nimejua kwa nn una akili ndogo sana
 
Back
Top Bottom