Dkt. Musukuma amwaga ung'eng'e Bungeni, ashangiliwa

Dkt. Musukuma amwaga ung'eng'e Bungeni, ashangiliwa

Shida ya kiingereza unaweza kuongea vzr moyoni ila ukisema ufungue tu mdomo kinakusaliti cjui kwann kiingereza kinatabia hii, msukuma umejitahidi,hii lugha hata viongozi wetu waliowengi hawawezi kujieleza vizuri kwa kiingereza,
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, baada ya kutunukiwa PhD, sasa ni rasmi Mh Musukuma ameanza kutumia lugha ya Kiingereza kama lugha yake kuu ya mawasiliano bungeni.

Leo ameuliza swali kwa kizungu ambapo waziri amepata kigugumizi kujibu.

Hakuna kitu hapo anababaika kuuliza tena kwa kingereza cha kitoto.Sifuri kabisa
 
Msukuma mnafiki tu. Alikuwa anawaonea sana wivu wasomi, akawa anawakashifu kumbe lilikuwa suala la sitaki mbichi hizi!

Usomi mtamu bwana, usipoeleweka unaongea kiingereza kwa msisitizo! Kati ya anesema nakupenda na anaesema I love you anafanikiwa anaesema I love you!
Kumbe usomi wa tz ni kuongea kiingereza
 
Hili suala la Msukuma kuzungumza kiingereza halimo kwenye TRAB na TRAT🤣🤣
 
Wapo wachina na wajap wengi hicho kizungu hawakijui ila wanatupatia msaada.

Kwanini tunaendelea kutawaliwa mpaka kifikra?
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, baada ya kutunukiwa PhD, sasa ni rasmi Mh Musukuma ameanza kutumia lugha ya Kiingereza kama lugha yake kuu ya mawasiliano bungeni.

Leo ameuliza swali kwa kizungu ambapo waziri amepata kigugumizi kujibu.

Musukuma amemsikia Waziri wa Fedha alivyopatwa na kigugumizi bungeni?​

Back
Top Bottom