Dkt. Musukuma amwaga ung'eng'e Bungeni, ashangiliwa

Dkt. Musukuma amwaga ung'eng'e Bungeni, ashangiliwa

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, baada ya kutunukiwa PhD, sasa ni rasmi Mh Musukuma ameanza kutumia lugha ya Kiingereza kama lugha yake kuu ya mawasiliano bungeni.

Leo ameuliza swali kwa kizungu ambapo waziri amepata kigugumizi kujibu.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] eti ameanza kutumia kiingereza kama lugha yake kuu ya mawasiliano.
 
Kumbe usomi wa tz ni kuongea kiingereza
Ni mojawapo ya sifa, kwamba kila msomi Tanzania ana uwezo wa kiasi fulani kuongea Kiingereza, japo si kila mtu anaeongea Kiingereza Tanzania ni msomi. Wapo wachache wanaoongea kingereza japo si wasomi/

Na labda kwako msomi ni nani? Sie tunachukulia hata ukiishia form four wewe ni msomi.
 
Back
Top Bottom