Dkt. Musukuma amwaga ung'eng'e Bungeni, ashangiliwa

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] eti ameanza kutumia kiingereza kama lugha yake kuu ya mawasiliano.
 
Kumbe usomi wa tz ni kuongea kiingereza
Ni mojawapo ya sifa, kwamba kila msomi Tanzania ana uwezo wa kiasi fulani kuongea Kiingereza, japo si kila mtu anaeongea Kiingereza Tanzania ni msomi. Wapo wachache wanaoongea kingereza japo si wasomi/

Na labda kwako msomi ni nani? Sie tunachukulia hata ukiishia form four wewe ni msomi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…