Dkt. Mwaka ajitafakari. Upendo ukiisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee


Uongo mtupu, hataki mali nani kakudanganya? Na kama kweli hataki, basi kuna jitu linampa jeuri! Hawezi kuacha mali kirahisi hivyo tusidanganye watu hapa! Akiacha ujue kuna mfadhili tayari!
 
Mapenzi yakiisha,kila mtu achukue chake asepe,ila siungi mkono Wala sio Sawa,mali nichume Mimi,harafu mwanamke atake nusu tukiachana,Ili akazitumbue na dume lingine!hiyo hapana no,!!Vijana ingia kwenye mahusiano ukiwa na Cha kwako,mkifika mwisho,Kuna kuwa hakuna drama za kudaiana mali! Kila mtu ana Cha kwake,mtakubaliana jinsi ya kutunza watoto pamoja.
Mali nichume Mimi,harafu niikate nusu ikaliwe na dume jingine mtaraka akiolewa!!hiyo hapana kabisa.
Njoo tuishi,ukitaka taraka,unasepa kama ulivyokuja.
Watoto nitatunza
 
Na hicho ndo kikichomponza......mabazazi nayo yalitaka kuthibitisha yale maneno....matokeo yake somo na chezo limeeleweka anakuja kuleta udwanzi wake......atoe karatasi watu wakawe wanaamshwa na hayo mabakuli na kusingwa juu kwa amani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka
Mbona kusingwa🤣🤣🤣🤣
 
Uongo mtupu, hataki mali nani kakudanganya? Na kama kweli hataki, basi kuna jitu linampa jeuri! Hawezi kuacha mali kirahisi hivyo tusidanganye watu hapa! Akiacha ujue kuna mfadhili tayari!
Sasa kama kuna mfadhili shida iko wapi ndugu?lazma asonge mbele eti au hujamsikia mwaka aliposema anampenda mkewe ila hayuko tayari kuishi nae tena?kwahiyo mnadhani yule queen ni sister wa roman catholic adi asiolewe tena?
Jamaa atoe tu hiyo talaka mambo yeshe
 
Hii tabia ya kusikiliza upande mmoja wa mwanamke na maneno yake ya kutia huruma na kuja na hukumu, ni mbaya sana..
Ukweli ni kuwa kama mwanamke hamtaki mwanaume huwezi kulazimisha ndoa. Kutoa au kupewa talaka ni haki ya mwanaume na mwanamke. Kama mwanamke hakutaki unang'ang'ania nini? Naona wengi mnadai kusikiliza pande zote. Hii siyo kesi ya kutoa maamuzi ni nani mkosaji na kukubali au kukataa kutoa talaka. Viongozi wa dini kazi yao kubwa ni kushauri, na siyo lazima ushauri wao ukubaliwe. Inaonekana Mwaka anatumia dini as if uamuzi ya hao viongozi kwenye kuachana au kutoachana ni final.
 
Uongo mtupu, hataki mali nani kakudanganya? Na kama kweli hataki, basi kuna jitu linampa jeuri! Hawezi kuacha mali kirahisi hivyo tusidanganye watu hapa! Akiacha ujue kuna mfadhili tayari!
Sasa hii si ndio sababu legit ya bwana mganga kumuachia fasta,au sio??Maana mwanamke kashasema hataki kitu chochote,na linaongeleka fumanizi,sasa Mganga Mwaka kwanini asimuachie tu huyo mzinzi akaenda??Anachomn'ang'ania mtu mwenye mfadhili mwingine ni kipi??Anafeli sana.Mwanaume umia kiume,Pita hivi!
 
Usichekeshe watu mkuu !
Kiislam mwanamke hamiliki talaka, atatoaje kitu asichokimiliki ? Bali upo utaratibu maalumu wa mwanamke kujivua kwenye ndoa lakini ina mchakato wake wa kufuatwa kwenye ofisi ya Kadhi, na si rahisi hivyo kama mnavyofikiri kama ilivyo utaratibu wa Kadhi kuivunja ndoa ,
Talaka anatoa Mume tu.
Mwanamke anajivua kwenye ndoa na hatusemi ametoa talaka.
Kadhi anavunja ndoa , pia hatusemi Kadhi katoa talaka. Na zote hizo kwa kila moja ina masharti na vigezo vyake vya kutimiza.
 
Uislam na sheria zake zoote zipo kwenye maandishi(qur an) naomba uniwekee hiyo aya uliyonukuu kuwa mwanamke anatakiwa arudishe kila alichopewa na mmewe akiwa ndoani ili aweze kujikomboa (kutoa talaka)










al-Bukhaariy amepokea na isnadi yake:

Mke wa Thaabit bin Qays alikuja kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kumwambia:

"Ewe Mtume wa Allaah! Sina lolote la kumtuhumu Thaabit si katika Dini wala tabia isipokuwa tu nachelea kutotimiza haki zake katika Uislamu. Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akamwambia: "Je, utamrudishia shamba lake?" Akasema: "Ndio. Akamrudishia nalo na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akamuamrisha kutengana naye."

Vilevile mwanamke akawa na haja ya kutengana naye, na hilo analifikia tu kwa mbadala.

Thawbah ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

"Mwanamke akimuomba Talaka mume wake pasina neno[1], hatonusa harufu ya Pepo." (Abu Daawuud (2226). al-Albaaniy amesema kuwa ni Swahiyh. (Swahiyh Sunan Abiy Daawuud (2/17)

Imepokelewa na Abu Daawuud.

ﷲ ndio mjuzi zaidi na mwenye kutakwa msaada
 
Habarini wadau wa JF
Nachofahamu mimi ni kuwa hakuna mwanamke asiyekuwa na plan B hasa anapotoka kwenye ndoa,nafikiri hapo kapatikana better person with higher value kuliko Dk.Mwaka_anyway mambo ya ndoa ni magumu sana and THEY KNOW EXACTLY WHAT THEY ARE DOING!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbon mwaka mwenyewe anadai bado anampenda Mke wake shida ya huyo mke ni nini?
Kwamba ni mzuri sana anaweza kuolewa tu hata kwingine.
Na Mwaka naye mke kamfanya nini hadi akose ujasiri wa kuachia ngazi?

Rais Samia aache kupambana na mfumuko wa bei aanze kudeal na watu waliokuwa wakisuguana miaka nenda rudi hadi wanakuja kututangazia mitandaoni kwamba wana mapenzi mazuri ya raha?

Hebu mstake kumchezea Rais bwana ana kazi kubwa ya kutuletea Katiba Mpya na sio huo ujinga wa mapenzi
 
Baada ya mwaka utawaona tena kwenye TV wako pamoja.

Sio watu wa kuamini wala kushabikia.
 
Sio kwamba ana hekima, people know how to act/behave in public. Behind the scene ndio rangi zao halisi zinajulikana.

Yeye na Mwaka wote sawa tu, kila mmoja am sure kuna vitu vyake havizungumzii kabisa. Don't let them fool you
Well
 
Mama kashasema kitu alichofanywa na Mwaka kikamkosesha amani ya moyo?

Hebu kileteni hapa tukipime kama kweli hicho anachosema ndio kinamkosesha amani ya moyo kweli au tunapigwa kamba?
 
Tuko kwenye Maridhiano na Katiba Mpya kuna wajinga wanagombana huko kwa visirani vyao wanataka kulifanya ni tatizo la Kitaifa.
 
Mkuu hilo ni kweli kabisa ndio maana inashauriwa usiingilie mambo ya ndoa na tena usije ukatoa ukashauri kwa watu walio kwenye ndoa waachane||ama waendelee,kwa sababu NI WAO WAWILI TU NDIO WANAOJUA KINACHOENDELEA KWENYE HIYO NDOA YAO!!!!Dr.Mwaka and so called his wife WANAJUA WANACHOTAKIWA KUFANYA kwa sababu mbona mambo yao yalipokuwa mazuri hawakuwashirikisha watu[emoji41]??Kwa nini wakati huu wanawashirikisha watu??Kuna namna nyingi za kufanya divorce settlement bila haya makelele,watumie njia hizo ili wabakie wazazi wema kwa watoto wao lakini all in all kutoa ama kuomba TALAKA ni UBINAFSI TU kwa kuwa wanaoumia the most ni WATOTO HAPO!!!!

END

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…