Mkishafika hapa haijalishi nani mkosaji the only solution ni talaka tu,
Mwaka ampe mkewe talaka mana hapa ameshasema hata hizo mali hataki tena anataka tu amani ya moyo na watoto wake!
Mimi nashangaa sana watu wanaosema huenda huyo mwanamke anajiliza tu, awe anasema ukweli au uongo the fact that ameomba apewe tu talaka na mali ataziacha zote that speaks volume about Dr. Mwaka!
Mwaka amwache huyo mama aende jamani, au mpaka tusikie mtu amecommit suicide?
Amani ya moyo ni kila kitu humu duniani!
Uongo mtupu, hataki mali nani kakudanganya? Na kama kweli hataki, basi kuna jitu linampa jeuri! Hawezi kuacha mali kirahisi hivyo tusidanganye watu hapa! Akiacha ujue kuna mfadhili tayari!