Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Mhhhhhhhhhhhh! Trump anasema ukweli kuhusu Waafrika.
Ni maamuzi tu na wala sio utajiri.
Nasikiliza BBC World Service hapa.Mhhhhhhhhhhhh! Trump anasema ukweli kuhusu Waafrika
Hahahahaha... mkuu, Mwaka sio "dokta" ila ni 'quack' ni kwa vile tu yupo kwenye hizi nchi zetu ndio maana ana uhuru wa kujiita na kuitwa rank ya Kitaaluma ambayo hanazo.Nasikikiza BBC World Service hapa.
Wanasema kwamba wanasayansi wa MIT wamegundua compound za dawa mpya za antibiotics kwa kutumia Artificial Intelligence.
Wameipa computer algorithm, computer imetumia algorithm kutafuta dawa mpya, imepata.
Sisi kwetu dokta anakwenda kwenye redio kuongea analala na wake wangapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mhuni sio dokta ni mganga wa kienyejiNasikikiza BBC World Service hapa.
Wanasema kwamba wanasayansi wa MIT wamegundua compound za dawa mpya za antibiotics kwa kutumia Artificial Intelligence.
Wameipa computer algorithm, computer imetumia algorithm kutafuta dawa mpya, imepata.
Sisi kwetu dokta anakwenda kwenye redio kuongea analala na wake wangapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afrika kuwa na wake wengi ni alama ya nguvu na utajiri.Ni maamuzi tu na wala sio utajiri.
Nasikikiza BBC World Service hapa.
Wanasema kwamba wanasayansi wa MIT wamegundua compound za dawa mpya za antibiotics kwa kutumia Artificial Intelligence.
Wameipa computer algorithm, computer imetumia algorithm kutafuta dawa mpya, imepata.
Sisi kwetu dokta anakwenda kwenye redio kuongea analala na wake wangapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikikiza BBC World Service hapa.
Wanasema kwamba wanasayansi wa MIT wamegundua compound za dawa mpya za antibiotics kwa kutumia Artificial Intelligence.
Wameipa computer algorithm, computer imetumia algorithm kutafuta dawa mpya, imepata.
Sisi kwetu dokta anakwenda kwenye redio kuongea analala na wake wangapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo madokta wetu hao tena.Hahahahaha... mkuu, Mwaka sio "dokta" ila ni 'quack' ni kwa vile tu yupo kwenye hizi nchi zetu ndio maana ana uhuru wa kujiita na kuitwa rank ya Kitaaluma ambayo hanazo.
Huku ni gizani mkuu Kiranga
Wana utofaut wa kiimaniNdiyo madokta wetu hao tena.
Sasa Dr. Mashinji na huyu wana tofauti gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Neno doctor msingi wake (etymology) ni neno docere katika kilatini, docere maana yake ni mwalimu.Huyo mhuni sio dokta ni mganga wa kienyeji
Hapa tunaachwa tena.Ndio bongo. Nimeisikia hiyo habari ya ugunduzi wa dawa mpya kwa kutumia AI, Artificial Intelligence (AI) BBC News.