Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

Kiranga,
Dkt wa nini kwanza tuanzie hapa, kasoima chuo kipi hapa duniani, kasooma miaka mingapi na wapi? anatambulika MCT,MAT au ndo walewale
 
Kama hao wanawake ni wake zake..

Kama wote hao wake zake hawana tatizo kulala naye kitandani wakiwa pamoja..

Nyie wengine tatizo lenu ni nini hasa?

Labda ninaloweza kumkosoa ni yeye kuongelea mambo ya chumbani kwake redioni.

Zaidi ya hapo, sina tatizo na yeyote yule alalaye kitandani mwake madhali si mtoto dogo au mtu aliyelazimishwa kulala naye.
 
Nasikiliza BBC World Service hapa.

Wanasema kwamba wanasayansi wa MIT wamegundua compound za dawa mpya za antibiotics kwa kutumia Artificial Intelligence.

Wameipa computer algorithm, computer imetumia algorithm kutafuta dawa mpya, imepata.

Sisi kwetu dokta anakwenda kwenye redio kuongea analala na wake wangapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini piaa baadhi ya wanao host vipindi hawajui ni maswali gani ya msingi kuuliza anapokua anatoa interview kwa watu wa makundi tofauti kulingana na taaluma zao

Ivo tasnia ya habari imekua ikifikiri udaku tu ndo utaweka umaarufu kwenye vipindi vyao badala ya kujua future ya tradition medicine kutoka kwa dr mwaka

Inasikitisha sana
 
Inasemekana ugunduzi wa dawa kwa kutimia AI siyo tu inaokoa muda , pia gharama. Changamato kwa programmers bongo ni kubuni algorithm ya kutafuta viongozi makini venginevyo tutaendela kuchagua total misfits- round pegs in square holes.
Utabuni alogarithim saa ngapi?,MB zenyewe makampuni ya simu wanakupa Bei juu na Tena wanakuibia ili ziishe faster unu ue zingine,
Tcra nao ndo hao Wana kazi nyingi hawawezi kufuatilia,
We starterup utapataje knowledge yakugundua vitu Kama hizo?.
Kumiliki YouTube tu ya kuupload kazi zako masharti kibao,utatangaza vipi kazi zako Hadi watu wa silicone valley wakuone na kukupa support?
Bora kuoana tu
 
Back
Top Bottom