Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
- Thread starter
-
- #21
Ujinga mtupu.Wana utofaut wa kiimani
Dr mashinji ni mkristo Dr Mwaka muislam
Hahahah wafanyie kwenye uwanja wa mpira.Hivi mfalme suleiman alivyokuwa na wake 1000 akifanya nao pamoja ndio inaitwa onethousandsome?
Anzia hapa kwanza.Mi niko interested na hiyo AI, Hiyo Alogarithm inafanyaje kazi mpaka inagundua kitu.
[emoji23][emoji23]Hivi mfalme suleiman alivyokuwa na wake 1000 akifanya nao pamoja ndio inaitwa onethousandsome?
Hahahaha unanivunja mbavuuu mkuuiHivi mfalme suleiman alivyokuwa na wake 1000 akifanya nao pamoja ndio inaitwa onethousandsome?
Mi niko interested na hiyo AI, Hiyo Alogarithm inafanyaje kazi mpaka inagundua kitu.
Hivi mfalme suleiman alivyokuwa na wake 1000 akifanya nao pamoja ndio inaitwa onethousandsome?
Lakini piaa baadhi ya wanao host vipindi hawajui ni maswali gani ya msingi kuuliza anapokua anatoa interview kwa watu wa makundi tofauti kulingana na taaluma zaoNasikiliza BBC World Service hapa.
Wanasema kwamba wanasayansi wa MIT wamegundua compound za dawa mpya za antibiotics kwa kutumia Artificial Intelligence.
Wameipa computer algorithm, computer imetumia algorithm kutafuta dawa mpya, imepata.
Sisi kwetu dokta anakwenda kwenye redio kuongea analala na wake wangapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utabuni alogarithim saa ngapi?,MB zenyewe makampuni ya simu wanakupa Bei juu na Tena wanakuibia ili ziishe faster unu ue zingine,Inasemekana ugunduzi wa dawa kwa kutimia AI siyo tu inaokoa muda , pia gharama. Changamato kwa programmers bongo ni kubuni algorithm ya kutafuta viongozi makini venginevyo tutaendela kuchagua total misfits- round pegs in square holes.
Vicious circle of poverty, calumny and mundane obsequity.Kiranga,
Inasemekana ugunduzi wa dawa kwa kutimia AI siyo tu inaokoa muda , pia gharama. Changamato kwa programmers bongo ni kubuni algorithm ya kutafuta viongozi makini venginevyo tutaendela kuchagua total misfits- round pegs in square holes.