Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Una vioja na viroja.Ni vazi ambalo pia unaweza ukatapeliwa....
unaweza kudhani mwanamke ni manshalah kumbe wp!
Hamna kitu paleNawahakikishieni hao wanawake wapo kifedha tu hapo wanamvumilia sababu ya vyuma tu kukaza na fedha za jamaa , lakini hamna Mwanamke anayependa kushea dyudyu, then wawili sawa ila wake watatu ni tamaa tu, na hapo lazima achapiwe ndio utakuta umeme unaingia ndani ya familia anauleta mmoja then wote wananasa, wanawake watatu utawezaje kuwarizisha kisawasawa kama sio tamaa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhh wapi hahaNawaza tu wanavyopendana kiasi hicho hao wake je na yeye wanampenda hivyo hivyo?
Nipo Kipenzi jana nililala mida ile nakuja amka ndio nakuta jumbe zako Mdogo. 😍😍😍
Umewaona wake wa Dr lakini?
Kwa mujibu wa dini yake hilo ni kosa tena kubwa sana, Mume haruhusiwi kufanya mapenzi na wakeze kwa wakati mmoja,
Innalillah wainna illah raji'un.
Hamna kitu pale
Nature ya wake wenza ni bifuu
mpendane kwa lipi...kwa lipi hasa
kule kupendana Dr.Mwaka should be very afraid...Very afraid...wanafichiana siri wale na mabwana zao nje
Huwezi ridhisha wake wa3..Mwaka nae anapangiwa zamu vile vile na Wanaume wa nje!
Yani nimemtafakari huyo Mwaka nawakeze nabaki kuguna.
Haya kalala nao usiku akapata hamu atamuanza yupi na huyu mwingine atavumilia???Aisee wamejidhalilisha sana sana wanaona ufahari .
Na wameshaweka kumbukumbu ivoooo mitandao itakumbuka miaka 10 mbele saizo watoto wao weshakua wakubwa.
Ptuuuuuuuuuu anachovya hapa anachomoa anaweka huku eeeeeew!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wanaoa wake wawili ili wafanye threesome?Sasa inamaana gani kuoa wake wawili!
Yes. Kuna raha yakeKwani wanaoa wake wawili ili wafanye threesome?
Porn zinawaharibu,Yes. Kuna raha yake
Kwani wanaoa wake wawili ili wafanye threesome?
Na huo ndo ujinga uko hapoAmbacho hujui hakiumi. Kama Dr hajui basi haumii.
HHhaahaaaa!!dahNdiyo madokta wetu hao tena.
Sasa Dr. Mashinji na huyu wana tofauti gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini yake si inaruhusu?Hapa ndipo napoona wanawake kweli hawajitambui,unatumika kama chombo cha kustarehesha,huku ukitoka nje unadai haki sawa NA wengine wapo wanaona wanavyodhalilishwa lakini wamekaa kimya...
Hamna kitu pale
Nature ya wake wenza ni bifuu
mpendane kwa lipi...kwa lipi hasa
kule kupendana Dr.Mwaka should be very afraid...Very afraid...wanafichiana siri wale na mabwana zao nje
Huwezi ridhisha wake wa3..Mwaka nae anapangiwa zamu vile vile na Wanaume wa nje!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ya chupi! Chupi! Yanayoendana na kwichikwichi wabongo wamefika! Ukiwauliza "Brexit ya Uingereza ni nini hawajui" japo haiwahusu kiviiile?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Kaz ipoNasikiliza BBC World Service hapa.
Wanasema kwamba wanasayansi wa MIT wamegundua compound za dawa mpya za antibiotics kwa kutumia Artificial Intelligence.
Wameipa computer algorithm, computer imetumia algorithm kutafuta dawa mpya, imepata.
Sisi kwetu dokta anakwenda kwenye redio kuongea analala na wake wangapi.
Sent using Jamii Forums mobile app