Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

Nawahakikishieni hao wanawake wapo kifedha tu hapo wanamvumilia sababu ya vyuma tu kukaza na fedha za jamaa , lakini hamna Mwanamke anayependa kushea dyudyu, then wawili sawa ila wake watatu ni tamaa tu, na hapo lazima achapiwe ndio utakuta umeme unaingia ndani ya familia anauleta mmoja then wote wananasa, wanawake watatu utawezaje kuwarizisha kisawasawa kama sio tamaa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu pale
Nature ya wake wenza ni bifuu

mpendane kwa lipi...kwa lipi hasa

kule kupendana Dr.Mwaka should be very afraid...Very afraid...wanafichiana siri wale na mabwana zao nje
Huwezi ridhisha wake wa3..Mwaka nae anapangiwa zamu vile vile na Wanaume wa nje!
 
Nawaza tu wanavyopendana kiasi hicho hao wake je na yeye wanampenda hivyo hivyo?

Nipo Kipenzi jana nililala mida ile nakuja amka ndio nakuta jumbe zako Mdogo. 😍😍😍

Umewaona wake wa Dr lakini?
Ahhh wapi haha
Ushoga huo naona ni ule kabisaaa
''Kipee nikabie uyo bwana siku mbili hzi niende kwa goma langu miee...''

maadamu Dr anatoa pesa,umejengewa nk na we una goma lako unafanya yako shida iko wapii?..

ukiwa mwaminifu lazma uwe kichaa hio ndoa ya wake wengi
Ni simple psychology tu
 
Kwa mujibu wa dini yake hilo ni kosa tena kubwa sana, Mume haruhusiwi kufanya mapenzi na wakeze kwa wakati mmoja,
Innalillah wainna illah raji'un.

Sasa inamaana gani kuoa wake wawili!
 
Hamna kitu pale
Nature ya wake wenza ni bifuu

mpendane kwa lipi...kwa lipi hasa

kule kupendana Dr.Mwaka should be very afraid...Very afraid...wanafichiana siri wale na mabwana zao nje
Huwezi ridhisha wake wa3..Mwaka nae anapangiwa zamu vile vile na Wanaume wa nje!

Ambacho hujui hakiumi. Kama Dr hajui basi haumii.
 
Yani nimemtafakari huyo Mwaka nawakeze nabaki kuguna.
Haya kalala nao usiku akapata hamu atamuanza yupi na huyu mwingine atavumilia???Aisee wamejidhalilisha sana sana wanaona ufahari .
Na wameshaweka kumbukumbu ivoooo mitandao itakumbuka miaka 10 mbele saizo watoto wao weshakua wakubwa.
Ptuuuuuuuuuu anachovya hapa anachomoa anaweka huku eeeeeew!

Sent using Jamii Forums mobile app

It's a known fact kwa watu wenye wake wengi tofauti ni kwamba wao hawajaweka online tu.
 
Dr. Mwaka anaishi ndoto ya wanaume wengi.
 
Ambacho hujui hakiumi. Kama Dr hajui basi haumii.
Na huo ndo ujinga uko hapo
Unadhani unaweza ridhisha wake 3..?ni kama mwanaume yoyote mwenye mchepuko..akirudi kwa mkewe mchepuko nae anaendelea na mabwana zake
Ni watu kushare uchi tu
 
Very true anagongewa sana mana huyo mweusi kuna jamaa yangu anapiga kitambo mpka leo,halafu demu ni njaa kali
Hamna kitu pale
Nature ya wake wenza ni bifuu

mpendane kwa lipi...kwa lipi hasa

kule kupendana Dr.Mwaka should be very afraid...Very afraid...wanafichiana siri wale na mabwana zao nje
Huwezi ridhisha wake wa3..Mwaka nae anapangiwa zamu vile vile na Wanaume wa nje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikiliza BBC World Service hapa.

Wanasema kwamba wanasayansi wa MIT wamegundua compound za dawa mpya za antibiotics kwa kutumia Artificial Intelligence.

Wameipa computer algorithm, computer imetumia algorithm kutafuta dawa mpya, imepata.

Sisi kwetu dokta anakwenda kwenye redio kuongea analala na wake wangapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Kaz ipo

kelphin kepph
 
Back
Top Bottom