Dkt. Mwigulu afanya mazungumzo na Mhandisi Hamadi Masauni

Dkt. Mwigulu afanya mazungumzo na Mhandisi Hamadi Masauni

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ 𝗔𝗙𝗔𝗑𝗬𝗔 π— π—”π—­π—¨π—‘π—šπ—¨π— π—­π—’ 𝗑𝗔 π— π—›π—”π—‘π——π—œπ—¦π—œ π— π—”π—¦π—”π—¨π—‘π—œ

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20, 2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamadi Masauni, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.

Viongozi wengine walioshiriki katika mazungumzo hayo ni Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Dkt. Festo Dugange na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Dkt. Richard Muyungi.

IMG-20260120-WA0030.jpg
IMG-20260120-WA0032.jpg
 
Back
Top Bottom