Dkt. Mwigulu akagua uharibifu wa Kituo cha Polisi Kikatiti

Dkt. Mwigulu akagua uharibifu wa Kituo cha Polisi Kikatiti

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ π—”π—žπ—”π—šπ—¨π—” 𝗨𝗛𝗔π—₯π—œπ—•π—œπ—™π—¨ π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—§π—¨π—’ 𝗖𝗛𝗔 π—£π—’π—Ÿπ—œπ—¦π—œ π—žπ—œπ—žπ—”π—§π—œπ—§π—œ

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 30, 2025, amekagua Kituo cha Polisi Kikatiti ambacho kiliharibiwa kutokana na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025, mkoani Arusha.

Akizungumza na wakazi wa eneo hilo, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewataka wananchi kuwa makini dhidi ya watu wasiolitakia mema Taifa kwa kuchochea vurugu na kuharibu miundombinu ya umma na ya binafsi.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo mkoani Arusha kwa ziara ya kukagua uharibifu uliojitokeza kufuatia vurugu za Oktoba 29, 2025.

Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amosi Makalla.

1764507071888.jpeg
 

Attachments

  • IMG-20251130-WA0076.jpg
    IMG-20251130-WA0076.jpg
    100.2 KB · Views: 27
  • IMG-20251130-WA0079.jpg
    IMG-20251130-WA0079.jpg
    194.4 KB · Views: 25
  • IMG-20251130-WA0078.jpg
    IMG-20251130-WA0078.jpg
    155.1 KB · Views: 26
  • IMG-20251130-WA0077.jpg
    IMG-20251130-WA0077.jpg
    201.7 KB · Views: 27
Wauaji mkae mkifahamu ICC hamna maswali ya mali ni uhai wa watu kwanza.

Mtataja tu idadi ya watu mliowaua.
 
Mwigulu jifunze kusoma alama za nyakati pamoja na hao wote waliokutuma.... Time is no longer on your sides...
 
Back
Top Bottom