Dkt. Mwigulu aongoza kikao cha kamati ya kitaifa ya Afcon 2027

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA AFCON 2027

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa ajili ya kupitia hatua mbalimbali zilizofikiwa katika maandalizi ya michuano hiyo mikubwa itakayofanyika mwaka 2027 katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amefanya kikao hicho leo Jumanne (Februari 10, 2026) Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam.

Katika mazungumzo hayo, Waziri Mkuu amepongeza kazi kubwa inayofanywa na kamati hiyo, akieleza kuridhishwa na kasi na mwelekeo wa maandalizi yanayoendelea.

“Maendeleo yaliyofikiwa hadi sasa yanaonesha dhamira ya dhati ya Serikali katika kuhakikisha Tanzania inakuwa mwenyeji bora wa michuano hiyo”.

Waziri Mkuu amesisitiza kuwa ni muhimu kuwepo kwa ushirikishwaji wa sekta zote, “mawaziri, makatibu wakuu pamoja na watendaji wengine hakikisheni mnazishirikisha sekta zetu kila mmoja katika eneo lake, tunataka kuona matokeo chanya katika michuano hii”.

Aidha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewataka wajumbe wa kamati hiyo kuhakikisha kila mmoja anasimamia kikamilifu eneo lake la uwajibikaji, ili hatua zote za maandalizi zikamilike kwa muda uliopangwa na kwa viwango vinavyokubalika.

IMG-20260210-WA0053.jpg
IMG-20260210-WA0052.jpg
IMG-20260210-WA0054.jpg
IMG-20260210-WA0050.jpg
 
View attachment 3542120View attachment 3542121View attachment 3542122View attachment 3542123
Asisahau maandamano makubwa tutakayofanya iwapo mchakato wa katiba mpya utakuwa haujaanza.
ERTUGRUL BEY Tlaatlaah
 
Kwahiyo mnataka mharibu haya mashindano ya kimataifa kwa shida zenu za kitaifa
Ndio mtajua kuwa tunataka nini. Kama hamko tayari tuheshimiane acha tutumie njia mtakayosikia. Na hiyo ni njia halali ya kupaza sauti duniani kote. Rejea michezo ya kimataifa kususiwa kama sehemu ya kutaka tatizo litatuliwe.
 
Mama yenu nadhani mnamjua lkn
 
DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA AFCON 2027

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa ajili ya kupitia hatua mbalimbali zilizofikiwa katika maandalizi ya michuano hiyo mikubwa itakayofanyika mwaka 2027 katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amefanya kikao hicho leo Jumanne (Februari 10, 2026) Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam.

Katika mazungumzo hayo, Waziri Mkuu amepongeza kazi kubwa inayofanywa na kamati hiyo, akieleza kuridhishwa na kasi na mwelekeo wa maandalizi yanayoendelea.

“Maendeleo yaliyofikiwa hadi sasa yanaonesha dhamira ya dhati ya Serikali katika kuhakikisha Tanzania inakuwa mwenyeji bora wa michuano hiyo”.

Waziri Mkuu amesisitiza kuwa ni muhimu kuwepo kwa ushirikishwaji wa sekta zote, “mawaziri, makatibu wakuu pamoja na watendaji wengine hakikisheni mnazishirikisha sekta zetu kila mmoja katika eneo lake, tunataka kuona matokeo chanya katika michuano hii”.

Aidha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewataka wajumbe wa kamati hiyo kuhakikisha kila mmoja anasimamia kikamilifu eneo lake la uwajibikaji, ili hatua zote za maandalizi zikamilike kwa muda uliopangwa na kwa viwango vinavyokubalika.

View attachment 3542120View attachment 3542121View attachment 3542122View attachment 3542123
Ndo walipanga kuomba msaada wa uwanja kutoka china
 
Huyu hata nisingempa Uwaziri wa Michuzi! Afadhali hiyo Michezo asingetia hasara kubwa kuliko uchumi, kwa kuifanya Tanzania ipitwe na Kenya kiuchumi mara mbili katika kipindi cha Uwaziri Uchumi wake!
Tangu miaka ya 70 (ya 60 tulikuwa twawapita)Kenya tulikuwa twakimbizana nayo, twapishana kidogo tu. Lakini kipindi cha huyu Kidoktile Uchumi wa Kenya umefikia dola Bilioni 170, wakati wetu emekwama kwenye bilioni 65~70! huku deni la Taifa liko nyuma pointi 5.3 tu kufikia hali ya hatari...yaani malipo ya riba ya mwaka yawe zaidi ya asilimia 18 ya pato letu la taifa!
Najua Watanzania hawajali haya, lakini sasa hata wajukuu wetu wadaiwa! Labda kutokee muujiza tupate mafuta, tena yatumiwe vizuri. Nyie endeleeni tu kushabilia mpira, kubeti, pombe na ufuska. CCM hawatawaambia haya!.
 
Back
Top Bottom