Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Asisahau maandamano makubwa tutakayofanya iwapo mchakato wa katiba mpya utakuwa haujaanza.DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA AFCON 2027
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa ajili ya kupitia hatua mbalimbali zilizofikiwa katika maandalizi ya michuano hiyo mikubwa itakayofanyika mwaka 2027 katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda.
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amefanya kikao hicho leo Jumanne (Februari 10, 2026) Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, Waziri Mkuu amepongeza kazi kubwa inayofanywa na kamati hiyo, akieleza kuridhishwa na kasi na mwelekeo wa maandalizi yanayoendelea.
“Maendeleo yaliyofikiwa hadi sasa yanaonesha dhamira ya dhati ya Serikali katika kuhakikisha Tanzania inakuwa mwenyeji bora wa michuano hiyo”.
Waziri Mkuu amesisitiza kuwa ni muhimu kuwepo kwa ushirikishwaji wa sekta zote, “mawaziri, makatibu wakuu pamoja na watendaji wengine hakikisheni mnazishirikisha sekta zetu kila mmoja katika eneo lake, tunataka kuona matokeo chanya katika michuano hii”.
Aidha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewataka wajumbe wa kamati hiyo kuhakikisha kila mmoja anasimamia kikamilifu eneo lake la uwajibikaji, ili hatua zote za maandalizi zikamilike kwa muda uliopangwa na kwa viwango vinavyokubalika.
View attachment 3542120View attachment 3542121View attachment 3542122View attachment 3542123
Kwahiyo mnataka mharibu haya mashindano ya kimataifa kwa shida zenu za kitaifaAsisahau maandamano makubwa tutakayofanya iwapo mchakato wa katiba mpya utakuwa haujaanza.
ERTUGRUL BEY Tlaatlaah
Ndio mtajua kuwa tunataka nini. Kama hamko tayari tuheshimiane acha tutumie njia mtakayosikia. Na hiyo ni njia halali ya kupaza sauti duniani kote. Rejea michezo ya kimataifa kususiwa kama sehemu ya kutaka tatizo litatuliwe.Kwahiyo mnataka mharibu haya mashindano ya kimataifa kwa shida zenu za kitaifa
Mama yenu nadhani mnamjua lknNdio mtajua kuwa tunataka nini. Kama hamko tayari tuheshimiane acha tutumie njia mtakayosikia. Na hiyo ni njia halali ya kupaza sauti duniani kote. Rejea michezo ya kimataifa kususiwa kama sehemu ya kutaka tatizo litatuliwe.
Kama yeye anavyotujua.Mama yenu nadhani mnamjua lkn
Ndo walipanga kuomba msaada wa uwanja kutoka chinaDKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA AFCON 2027
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa ajili ya kupitia hatua mbalimbali zilizofikiwa katika maandalizi ya michuano hiyo mikubwa itakayofanyika mwaka 2027 katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda.
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amefanya kikao hicho leo Jumanne (Februari 10, 2026) Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, Waziri Mkuu amepongeza kazi kubwa inayofanywa na kamati hiyo, akieleza kuridhishwa na kasi na mwelekeo wa maandalizi yanayoendelea.
“Maendeleo yaliyofikiwa hadi sasa yanaonesha dhamira ya dhati ya Serikali katika kuhakikisha Tanzania inakuwa mwenyeji bora wa michuano hiyo”.
Waziri Mkuu amesisitiza kuwa ni muhimu kuwepo kwa ushirikishwaji wa sekta zote, “mawaziri, makatibu wakuu pamoja na watendaji wengine hakikisheni mnazishirikisha sekta zetu kila mmoja katika eneo lake, tunataka kuona matokeo chanya katika michuano hii”.
Aidha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewataka wajumbe wa kamati hiyo kuhakikisha kila mmoja anasimamia kikamilifu eneo lake la uwajibikaji, ili hatua zote za maandalizi zikamilike kwa muda uliopangwa na kwa viwango vinavyokubalika.
View attachment 3542120View attachment 3542121View attachment 3542122View attachment 3542123
Huyu hata nisingempa Uwaziri wa Michuzi! Afadhali hiyo Michezo asingetia hasara kubwa kuliko uchumi, kwa kuifanya Tanzania ipitwe na Kenya kiuchumi mara mbili katika kipindi cha Uwaziri Uchumi wake!DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA AFCON 2027