Dkt. Mwigulu Aongoza kikao cha kujadili changamoto za kibiashara kati ya Tanzania na Zambia

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ π—”π—’π—‘π—šπ—’π—­π—” π—žπ—œπ—žπ—”π—’ 𝗖𝗛𝗔 π—žπ—¨π—π—”π——π—œπ—Ÿπ—œ π—–π—›π—”π—‘π—šπ—”π— π—’π—§π—’ 𝗭𝗔 π—žπ—œπ—•π—œπ—”π—¦π—›π—”π—₯𝗔 π—žπ—”π—§π—œ 𝗬𝗔 π—§π—”π—‘π—­π—”π—‘π—œπ—” 𝗑𝗔 π—­π—”π— π—•π—œπ—”

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 16, 2026 ameongoza kikao cha kimkakati na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu wa kisekta, Ofisini kwake, Mlimwa Jijini Dodoma.

Katika kikao hicho, viongozi hao wamejadili kuhusu changamoto za biashara kati ya Tanzania na Zambia

Wizara zilizohudhuria kikao hicho ni pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera Bunge na Uratibu), Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Wizara ya Fedha, Wizara ya Nishati, Wizara ya Uchukuzi, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Pia, kikao hicho kilihudhuriwa na Wakuu wa Mikoa ya Katavi, Songwe na Rukwa.

1768634054932.png

1768634110495.png
 

Attachments

  • IMG-20260116-WA0144.jpg
    IMG-20260116-WA0144.jpg
    193.8 KB · Views: 26
  • IMG-20260116-WA0145.jpg
    IMG-20260116-WA0145.jpg
    235.4 KB · Views: 24
  • IMG-20260116-WA0147.jpg
    IMG-20260116-WA0147.jpg
    425 KB · Views: 28
Back
Top Bottom